Blind date hii noma sana

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
14,645
14,272
Habarini sana wana Jf aka Gtz,
Moja kwa moja kwa mada,
Kwa upande wangu kila nikienda kwenye blind date na member wa Jf yani nakuta ni tofauti na expectations zangu, yani wengi wao hawalipi au jinsi changia yake kwa mada ni tofauti kabisa na mwonekano wake halisi, mwisho wa siku it does not work out . Nipeni mirejesho yenu ambao pia mlishawahi kwenda kwa blind date na mtu toka Jf.
 
Hahaahhaaaaa .. Mkorofi wewe.. Je akitaja my ID, what are you going to do ? ( just kidding )Hukosi vituko weye.... hahaahaahahaa..Thanks..
Akitaja ID yako wala sitashangaa sana kwa sababu ya ID unayotumia(loveissweet), inaonekana siku ukikosa love unaweza kufa wewe, kwa hiyo ukiwa unatafuta love everywhere including JF wala sitokushangaa my dear!!!
 
HAHAHAAAAAAAAA! wEWE UNA LIPA AU BASI TU. Ujue watu wanaondoa uhalisia wa maisha just simply its is jf anategemea yeye yupo kama Shabani Madobe ila wewe uwe Beyonce.

Wew Lara1 acha hizo, yani kwa point zako tayari mim nshakuwa na picha flani kichwani juu yako then tunakuja mit unakuwa kama wale wanaouliza eti umenipendea nin wakati tumekutana jf with fake ids na avatarz
 
Nilshafanya ishu moja na Wana-JF kadhaa kiasi kwamba ilitubidi tuonane live ili tukamilishe hizo ishu(Najua watasoma hapa sintoweza wataja majina).Nilikutana ni watu wako smart kabisa na mwisho wa siku tukakamilisha ishu hawakua na Magumashi mpaka sasa tuko na ukaribu sana tu..Na hao niliokutana nao kuna Wanawake na Wanaume..
 
ha ha ha,unataka wawe warembo kama marichuyi.
Humu utaibua hata wabibi usipoangalia

Jinsi wanavyo pretend aisee waweza jua unaenda okota dodo kama yule naniii duh kumbe wew ndo dodo lenyewe, ila kuna walioko poa (financially) mpaka waweza vuta criteria flan flan ili afit, sema ndo hivo ukiwa real mapenz ni zaidi ya hayo , unabaki kusema nguruwe pita sina mkuki mie
 
Back
Top Bottom