barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,874
Hii imetokea hapo nchi jirani ya Zambia.
Mwanamke amemfumania mumewe akila mambo na hawara. Mwanamke hakukawiza, akawa na maji yake ya moto na kuwamwagia wote ili mume akituliza au kama vipi wakose wote.
Ni hatari sana haya mambo, japo sie tuliokaa Kigoma huwa tunajuwa "Haina makombo"