Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

HABARI ZA MAPUMZIKO WADAU. KUNA JAMBO LINANITATIZA NA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU WANGU. KANIOMBA ELFU 50 NIKAMJIBU MPENZI LEO SINA HELA. MARA INAINGIA SMS IPO KIASI GANI? JAMANI NAOMBA...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wanaJF nimeona nije kwenye hili jukwaaa mana najua hapa ntapata mawazo chanya. Mim ni kijana 22yrs Old kwetu tulizaliwa wawil mimi na dada yangu alishaolewa ana maisha yake. Mimi kwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Jamani ndugu zangu wa JF, Huyu jirani yangu ni kaka ana mkubwa tu na ana miaka 26 sasa na ni mhitimu wa diploma ya procurement mwaka juzi 2014 katika chuo cha Uhasibu Mbeya (TIA) na kwa sasa...
3 Reactions
42 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu. Ninarafiki yangu nampenda sana ni msichana mmoja mtulivu sana kwanzia nyumbani kwao, shuleni mpaka ugenini. Ila ni muathirika Wa virusi vya ukimwi ugonjwa huo alizaliwa nao. Ni...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Nawashangaa sana wanaume mnapolalamika kuombwa hela, wakati nyie papuchi mnataka... Sasa maisha kusaidiana, unapotaka tunda basi ukubali kutoa pesa msilalamike!
3 Reactions
55 Replies
5K Views
"Kuna thread moja inahusu michango ya harusi imenikumbusha mbali. Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na...
4 Reactions
227 Replies
31K Views
Wadau kumekuwa na ongezeko la wanawake wenye ndevu na kwa ujumla wanawake hawa wamekuwa wanapata shida sana ikija swala la kuolewa. Kijana wa kiume anapata shida kwenda kumtambulisha kwao...
0 Reactions
37 Replies
14K Views
I hope this will help you out............... Dear.......... I am very happy to inform you that I have feelings for you since Tuesday, the 1st of July 2008. With reference to the meeting...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Jamani,kwanza natangulia kuomba msinibeze ndugu zangu, Mimi ni kijana mvulana wa miaka 27,nina elimu ya chuo kikuu masters, nina kazi nzuri pia nina uwezo wa kujitosheleza kama kijana kwenye...
1 Reactions
154 Replies
24K Views
MM NATAFUTA MCHUMBA NIPO ARUSHA MBAUDA NAMBA YANGU 0686203884
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mara nyingi wanaume wengi hupenda ama kuvutiwa sana na wanawake wenye makalio makubwa. Kwa sasa mwanamke mwenye makalio makubwa yaliyojazia sawasawa huonekana ana soko kuliko wale wenye makalio ya...
7 Reactions
56 Replies
41K Views
Jamani wanajamvi, habr za wikendi. Kuna wanaume mamburula sijawahi kuona. Kuna wanaume mambuzi hadi wanakera, kuna wanaume sijui wana wadaudu kichwani. Yaani kuna wanaume sifa za kuitwa wanaume...
3 Reactions
47 Replies
12K Views
Naomben msaada wadau.
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Natafuta mchumba ambaye atakuwa my wife,mimi nina miaka 30 nipo Kinondoni.sifa zake awe mcha mungu,asiwe mvivu pia awe tayari kupima HIV na magonjwa mengine.aliye tayari ani pm namba yake...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za weekend wapendwa, natumaini muwazima wa afya, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo kuu kilichonisukuma kuongea hivyo ni huu mkanganyiko ninauona kwa hawa wanawake kwa kutokuwa na...
13 Reactions
166 Replies
18K Views
Ndugu zangu mabibi na mabwana napenda kuwakaribisha katika bachela pati mitaa ya Njiro Arusha. Nyote mnakaribishwa bila kukosa ila kama una mke acha nyumbani njoo mwenyewe na kama una mume muache...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi ni kijana (mwanaume) wa Dar! Nimejaribu kufanya comparison kati ya vijana wengi wa bara na wale wa visiwani nikagundua kuwa vijana wa visiwani wana ishi maisha mazuri sana kuliko sisi wa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Alimpenda mno mke wake, alijitahidi kumpa mkewe kila kitu kilochopo ndani ya uwezo wake, lakini mke wake hakuwa akiridhika na ku appriciate. Ingawa hakuwa tajiri lakini alijitahidi mno ku share...
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Habari ya j3 huwa najiuliza kwa haraka. Kati ya mke/mume au wapenzi wa jinsia tofauti yupi huanza kumkinai mwenzi wake kwa haraka. Maana wengi wetu hujikuta kutokuwa wawazi hasa ikitokea umekinai...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kusema kweli mimi nina aibu sana, pia huwa sipendi kumwambia mtu jambo litakalomuumiza kihisia.Kuna binti mmoja nimeanza nae mahusiano hivi karibuni,mwezi wa pili ndio tulikutana nae kimwili. Sio...
8 Reactions
152 Replies
26K Views
Back
Top Bottom