wenalitha
Member
- Apr 24, 2016
- 60
- 48
Habari waungwana,
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 23 nipo chuo UDSM mwaka wa pili. Shida niliyonayo nahitaji ushauri wenu.
Hapa nilipo nina wanaume wawili tofauti na wote wanataka kuja nyumbani kujitambulisha. Kiukweli wote siwapendi ila tu naona nisije zeekea home bora niolewe ila shida nashindwa kuamua cause wote wananisaidia sana.
Huyu mmoja amenisaidia sana katika shida za kimaisha kiujumla kuanzia familia yangu ikipata shida yeye ndiyo huwa msaada wetu mkubwa ila huyu mwingine ni msaada mkubwa kwa maisha yangu ya chuo ni msaada mkubwa kwa masomo cause amenitangulia miaka miwili.
Sasa sielewi mwenzenu nisaidieni.