Msaada-Honeymoon

The Kop

JF-Expert Member
Aug 7, 2010
209
93
Hagar wadau, natarajia kufunga ndoa June this year, nilikuwa na mpango kwenda "honeymoon" visiwa vya shelisheli, nasikia kuna usafiri wa boat kutokea Dar, he no kweli, na gharama ikoje? Msaada kwa mwenye "details" tafadhali. Mie Niko Mwanza! Aksanteni!
 
Back
Top Bottom