Hi wapendwa,
Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.
Mwenye sifa hizo anifollow pm
Habari wana jamvi!
Najitokeza tena kwa mara nyingine kuomba ushauri kwenu.
Ni juu ya huyu workmate wangu, ni binti niliyemfukuzia kwa kumwambia maneno ya kila rangi ya utamu lakini akanichomolea...
nimepata msichana bikra nimembikiri, nimesha shiriki nae kama Mara 4 lakini dem inaonekana ni gogo.hivi wadada mnijuze ni muda gani mnatumia kuwa nafundi kitsndani,huyu wangu hataki...
Natumaini ya kua hamjambo jioni hii.
Wapendwa katika Bwana leo ni siku ya pili nimekua nikiota ya kua niatapata mke mwema kupitia jukwaa hili. Mimi ni kijana wa kiume miaka 29 mkristo, naomba...
I love to be rich, i love to be rich because every thing about the rich is high.
1. When the rich sits on a table that table becomes high table.
2. When the rich dwells in a locallity that...
HABARI ZA MAPUMZIKO WADAU. KUNA JAMBO LINANITATIZA NA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU WANGU. KANIOMBA ELFU 50 NIKAMJIBU MPENZI LEO SINA HELA. MARA INAINGIA SMS IPO KIASI GANI? JAMANI NAOMBA...
Wasee, kwanza niaje Niaje?.
Niko hapa hivi, nlifanya schedule ya appointment na manzi flani wa udoo, juu sipendi wale manzi hungry cos wanakunga ung'ong'o.
Sasa huyu manzi wa udoo yeye...
Habari wapendwa,kuna kitu kinanikera mpaka nimeamua kuongea na inabidi tumuogope Mungu,kuna jamaa mmoja alioa akafukuza mke wake,badae akamrudia mke wake Mungu akawajalia mtoto mmoja,wakati huyo...
Wazee heri?
Nina mwanamama anahitaji ushauri na liko nje ya uwezo wangu mie. Hivyo nimeona niwashilikishe hapa.
Kakaa kwenye ndoa miaka 22. Na kaolewa kwa nguvu si kwa kupenda; hivyo hajawahi...
Mabibi na mabwana,
Ya leo ni kuwa, Kasie kajikuta kwenye dimbwi la maji ya uaridi yasochosha kuoga wala kunawa wala kuyanywa vivyo hivyo kuyapikia na kuyafulia.
Kasie amejikuta amemdondokea...
Kuna dada mmoja nikikuwa namfahamu miaka mingi sana. Kama miama 15. Kipindi hicho tukiwa ni wasichana wa miaka 25. Dada huyo ghafla akawa na mahusiano na mume wa dada yangu. Nilimchukia sana. Dada...
Upoleee... upole ni ngao yangu
Nakusubiri ii. ...Nakusubiri sichoki ii
Subira aaa...subira ni ngao nakusubiri ii. ..Nakusubiri sichoki
Iwe safi moyo wanguu. ...ooh wangu.....
Sina kinyongo na...
Amani Iwe Juu Yenu!
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale kwa ajili ya kujitafutia riziki! Nisiwachoshe sana,ngoja niende moja kwa moja kwenye mada! Kuna siku mwezi uliopita nilikuwa...
Tumsaidieni dada huyu wanaJF na tutajifunza mengi kwa hiki kisa chake.
Mimi nimeolewa miaka 2 iliyopita tunaishi vizuri na mume wangu japo mi sina raha na hivi ninavyoandika hii msg nimenuna...
Kulingana na sensa iliyopita, mko wanawake milioni moja zaidi ya wanaume.
Kuna wanaume wengine ni mashoga.
kuwa na mwanaume wa kwako peke yako ni kitu kilichoshindikana.
tunadanganyana tu...
Habarini wanajamvi...Mi nina umri wa miaka 40...nilizaa na mdada then tukaachana ka miaka minne...ananiomba mara nyingi sana turudiane...sasa naingiwa sana na huruma ya kutaka kumrudia ila kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.