Mwanaume hahitaji mwanamke wa hivi

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
4,332
10,540
FB_IMG_1461478337394.jpg
 
Sizitaki mbichi hizi, sungura akagumia
Naona nafanya kazi, bila faida kujua
Yakamtoka machozi, matunda akalilia
Matunda akalilia, sungura nakuambia.
 
Wanaelewaga basi? Ngoja hawa wenye sura na mishepu ya haja waendelee kuburudisha umma. Ila ndoa no,labda wakishachoka watatafuta 'admirers' maboya wa kuwaoa
 
Jipeni moyo hivo hivo, oa mtu ana sura ya anko wake na shape kama mche wa sabuni hajulikani mbele wapi nyuma wapi.... Kutoka nae huwezi, kila mtu anatoka na mkewe wewe mkeo UNAMFICHA KAMA PAYING SLIP, mwanamke sura na shape babu tabia tutarekebishana
 
Wengine wenye shape nzuri wakiambiwa kuoelwa wanasema No,mda ukisha kwenda utashangaa utakae mkuta ndio mumewe..
 
Jipeni moyo hivo hivo, oa mtu ana sura ya anko wake na shape kama mche wa sabuni hajulikani mbele wapi nyuma wapi.... Kutoka nae huwezi, kila mtu anatoka na mkewe wewe mkeo UNAMFICHA KAMA PAYING SLIP, mwanamke sura na shape babu tabia tutarekebishana
Usikute na wewe una ka-flat screen af unabwabwaja hapa! Keyboard zinatufichia mengi
 
Jipeni moyo hivo hivo, oa mtu ana sura ya anko wake na shape kama mche wa sabuni hajulikani mbele wapi nyuma wapi.... Kutoka nae huwezi, kila mtu anatoka na mkewe wewe mkeo UNAMFICHA KAMA PAYING SLIP, mwanamke sura na shape babu tabia tutarekebishana
Who told you such stupid tale? Learn to use your wits not your body.
 
Jipeni moyo hivo hivo, oa mtu ana sura ya anko wake na shape kama mche wa sabuni hajulikani mbele wapi nyuma wapi.... Kutoka nae huwezi, kila mtu anatoka na mkewe wewe mkeo UNAMFICHA KAMA PAYING SLIP, mwanamke sura na shape babu tabia tutarekebishana
Thubutuuu! Mwanamke tabia bibi, sura hata mbuzi anayo
 
Back
Top Bottom