Haaa! Yule tunaheshimiana sana,yani kama Dada au Kaka yangu.

rutakana

Senior Member
Jun 8, 2015
119
72
Helloooo jf member,nawasalimu sana.Napenda kuuliza hivi,unakuta unamuuliza mschana,aisee yule ni mpnz wako ambaye nimekuona naye siku ile au sehemu ile,sasa jibu lake ndo linanishangaza eti hapana yule ni kama kaka yangu namuheshimu sana,sasa najiuliza hv ww msichana unaingia kwny mahusiano na mtu usiyemuheshimu?
Back boys too,naye unamuuliza hoya yule mschana nahc umeshamalza,naye jibu kama la upande ule wa pili,eti haaa! Yule kama dada yangu,namuheshimu sana.

Najiulza hili swali je boys and girls uwa tunadate watu tusiowaheshimu,au tunajibu kuficha uhalisia,ni mimi Rutakana asiyewaamini wanawake .
 
hahaha hayo mambo ni ya
wavulana vs wasichana tu,,,, mpenzi hafichwi/ hafichiki kwa taarifa yako,,
 
hao wanaosema hivyo wasichana wao wakichukuliwa na wenzao wana tukana na mafumbo ya kwenye DP kama wanawake, na wanawake ndio ooooh inakua kigodoro time matusi nyimbo nyingi" kama umeona umepata rudi tena kutafuta,mara mie sigombanii mabwana yatamtoka maneno kama mvua wakati kosa lake,angejibu ndio na mchezo ungeisha...
 
Hapo cku zikisogea huumbuliwa na mimba tu
ndio utawasikia...'oh si chaguo langu...
 
Huwa siamini urafiki urafiki tu kwa jinsia tofauti aaah ipo siku mtaenda mbali mbaliiiii zaidi ya urafiki.
Kwa hiyo usiwe na maana sana ya dada/kaka huwa hazina maana hiyo.
 
Back
Top Bottom