Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,196
Naamini wazima wote humu, .
Samahanini kuwachosha maana ni ndefu kidogo.
Ok mm ni kijana na kwasasa niko na girlfriend nampenda sana na kwa sasa imebaki 2 month kujifungua ,sasa mambo yako hapa sasa, kiukweli baada ya kuniambia ame conceive nilimuelewa sikutaka kukataa japo nilikuwa na uwezo uo maana hii alifanya kama kunitegeshe coz hilo swala alikuwa anataka muda mwingi sana kwamba anahitaji mtoto na mm nilikuwa nikimkatalia kumwambia ,cwez kuwa na mtoto wakati haya mambo yanahitaji maandalizi mazuri yatakayofanya mtoto azaliwe akute mambo yako vizuri ,ila ,alianza kulalama kuwa namkatalia sababu niko na wanawake wengine na inaonekana sina upendowa dhati kwake, nilimuuliza ww unakaa kwenu utakapo conceive ukafukuzwa kwenu utakaa wapi? ? Akasema anajua yeye, ni mtu mwenye kazi yake amejiajiri ana ofc ila bado yupo kwao.
Baada ya kuniambia ameconcive nilimwambia sawa ,ilabaadae akawa kama analalama kwamba tufanyaje nikamwambia unalalama nn na hii umelazimisha, ? Akaanza ooh sasa unadhani nikifukuzwa nyumbani ntaenda wapi? Nikamwambia ww culisema unajua pakwenda? Ilipifika kwenda miez minne akaanza kusema fanya basi uje uongee na mama kabla ajajua maana ataniletea shida na baba akijua ndio kabisa atamletea shida mama yangu. Basi siku zilienda mama yake akajua kuwa mwana ndio hvyo ,basi nikaenda kuonana nae tukazungumza akahitaji nijipange nije sasa ili kuonana na familia lengo ni baba ajue ili isije ikawa tatizo, kiukweli niliwaza sasa maana yule mzee soja nkasema naanzaje ,ok zilipita cku nilienda bahati nikaongea nao nikakuta nawajomba nikapewa maelezo pale namna ya faini na mengineyo .
Sasa dhumuni lakuandika haya liko hapa ,bado sijaenda kupeleka hyo faini mpka sasa ,baba anamuuliza mama hawa watu mbona hawaji ,kiukweli mm kufanya hilo nitalifanya tu na nitakwenda na wazee ila sio kwa sasa maana mambo yangu bado nayaweka sawa na pia ,kuandaa nauli na mambo mengine na wakati huo huo kuna maswala yafamilia namalizia na nimeshawaeleza pia upande wangu ,sasa tatizo juzi bint ananiambia baba anasema mbona hamji ,ikifka wakat wakujifngua msije tena .na huyu mtoto mtamuona tu kwenye watsap, sasa najiuliza kwann naharakishwa wakati nimeshasema ntaenda?
NOTE: tunapendana na binti kisema kweli naamekuwa akinitetea sana ,na lingine mahitaji mengine nimekuwa nampatia, na tuko tu vyema tatizo ndio hilo ,na mm kwenda nimepanga baada ya kutoka safari ya kikazi kagera,
Nisaidien nifanyeje ???