Somo; Vijana kabla ya ndoa kuweni makini na hili.....

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
18,126
32,808
Habari za muda huu marafiki......

Kila mtu anajua kuwa miaka ya hivi karibuni suala la kufunga ndoa limekuwa ni kitendawili ambacho wengi wameshindwa kukitegua......

Kwa kifupi siku hizi ndoa zimekosa raha na furaha humo chumbani badala yake ni karaha na manyanyaso tupu zinazoifanya ndoa kuwa kama gereza la mateso makali.....

Lakini watu wenye akili timamu watakuwa wanajiuliza kuwa kwanini matukio hayo au tabu hizo za maisha ya ndoa zishamiri sana kwa nyakati hizi.....na sio nyakati zingine zozote zile...?? ( simaanishi kuwa miaka ya nyuma ndoa zilikuwa hazina mushkeli)......

Mimi kwa mtazamo wangu naona sababu moja kubwa sana ya kutokea yote haya ni

ZINAAA.......
Hakuna asiyejua kuwa siku hizi ngono imekuwa rahisi kama vile kwenda kununua andazi....
Kuna wengine ngono wamezihalalisha kupitia uchumba....watu wanakuwa wachumba kwa miaka hata kumi huku wakifunuana nguo muda wote kama wanandoa......sasa hapo msisimko wa ndoa utapatikana vipi ndani ya ndoa ikiwa kabla ya ndoa hakuna hata sehemu moja ya mwili wa mchumba wako usiyeijua......

Sasa hivi kijana kabla hajao au kuolewa ameshatembea na wake za watu au waume za wengi wa kutosha.....kwa kifupi vijana wengi kabla ya ndoa wamekuwa chanzo cha migogoro au hata sababu za kuvunjika kwa ndoa zingine nyingi tu........kupitia kuendekeza kwao kwa zinaa au ngono wamejikuta wakivunja ndoa za watu nyingi hata kusababisha mahangaiko kwa wategemezi wa wanandoa hao.....kwa kifupi laana na manung'uniko za wategemezi wa wanandoa zinaangukia kwao.......

Katika hali kama hiyo utawezaje kupata ndoa yenye furaha na baraka ikiwa wewe mwenyewe ulikuwa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa za wengine au na wewe ulikuwa chanzo cha mgogoro kwenye ndoa za wengine....???

Dunia ni duara.....namaanisha kuwa yale uliyokuwa ukiyafanya kwa watu na kuwaumjza lazima yakurudie katika maisha yako....

NB; Vijana kuweni makini na matamanio yenu mjitahidi kujizuia msiwazini wachumba zenu kabla ya ndoa kwani unakuwa unabomoa au kuangusha nguzo muhimu ya ndoa......

Mwanamke uliyemzini kabla ya ndoa kamwe hawezi kukuamini tena kwani anajua kuwa kwa jinsi ulivyomuonja yeye ndivyo utakavyo waonja wengine huko nje.....

Na mwanamume kamwe hawezi kumheshimu mwanamke aliyemzini kabla ya ndoa kwani anajua kuwa kama alivyokubali kumuonjesha yeye ndivyo atakavyo waonjesha wengine......

Nawasilisha.......
 
Kuna Jamaa(ndugu yangu) alikuwa ananipa hizo nasaha wakati yeye najua A-Z za maisha yake wakati hajaoa. Sisi wanadamu ni wanafiki sana...
 
Well said .. To add it up kuna wengine wanajisahau kuwa na wao watakuja pata daughters and some they are already have them sasa wait .. Huyu Mungu huyu acha tuu anakusubiri uwe umeshasahau uliyommtenda mwana wa mwenzio in the past ,.. Wakati umesahau uuuuh your daughters start going through the same things as you put another daughters through , now your past comes to hunt you back.. Huuh... Thanks..
 
Mapenzi hayana kanuni.

Kuvuana nguo kabla au baada ya ndoa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kudumu kwa ndoa.
 
Back
Top Bottom