Mabibi na mabwana,
Ya leo ni kuwa, Kasie kajikuta kwenye dimbwi la maji ya uaridi yasochosha kuoga wala kunawa wala kuyanywa vivyo hivyo kuyapikia na kuyafulia.
Kasie amejikuta amemdondokea...
Kuna dada mmoja nikikuwa namfahamu miaka mingi sana. Kama miama 15. Kipindi hicho tukiwa ni wasichana wa miaka 25. Dada huyo ghafla akawa na mahusiano na mume wa dada yangu. Nilimchukia sana. Dada...
Upoleee... upole ni ngao yangu
Nakusubiri ii. ...Nakusubiri sichoki ii
Subira aaa...subira ni ngao nakusubiri ii. ..Nakusubiri sichoki
Iwe safi moyo wanguu. ...ooh wangu.....
Sina kinyongo na...
Amani Iwe Juu Yenu!
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale kwa ajili ya kujitafutia riziki! Nisiwachoshe sana,ngoja niende moja kwa moja kwenye mada! Kuna siku mwezi uliopita nilikuwa...
Tumsaidieni dada huyu wanaJF na tutajifunza mengi kwa hiki kisa chake.
Mimi nimeolewa miaka 2 iliyopita tunaishi vizuri na mume wangu japo mi sina raha na hivi ninavyoandika hii msg nimenuna...
Kulingana na sensa iliyopita, mko wanawake milioni moja zaidi ya wanaume.
Kuna wanaume wengine ni mashoga.
kuwa na mwanaume wa kwako peke yako ni kitu kilichoshindikana.
tunadanganyana tu...
Habarini wanajamvi...Mi nina umri wa miaka 40...nilizaa na mdada then tukaachana ka miaka minne...ananiomba mara nyingi sana turudiane...sasa naingiwa sana na huruma ya kutaka kumrudia ila kusema...
Heeeeeeeeeeeey sweethearts! Watsup!!
Leo naandika kitu kuhusiana na wanaume wanaokutana na wanawake kwenye maclub, asilimia kubwa wengi wanafikiri wanajiuza na kama sikujiuza they think these...
Wakuu asalam aleykum Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Ni muda mrefu hawa watoto wa kinyarwanda wamekua wakichanganya mtima wangu. Yaan nikiwaona roho yangu...
Huu ni muda ambao natamani nikirudi nyumbani nipokelewe na mtu wangu wa halali, aniambie pole na kazi, karibu nyumbani, chakula kitakuwa tayari soon. Yaani natamani kuwa na mtu ninayemuita mke...
Mimi ni ngeni humu ila situation forced me get in,naomba msaada wa mawazo! Nina mchumba japokua sijatambulishwa kwao lakin nampenda sana mpaka inafika situation najinyima.
Mwanzoni mwa mwaka huu...
Ukiangalia Wanaume town asubuhi au jioni utakuta wamewapakia marafiki, wanawake au ma staff wenzao...
Lakini gari nyingi zinazoendeshwa na wanawake hukuti mwingine kapakiwa ndani ya gari...
Habarini wanajamvi,
Kwanza niwashukuru kwa ushauri wenu wakati nimeleta uzi kwamba I am dating a girl ambae ana dini tofauti na yangu na kupitia michango yenu tulifanikiwa kupata suluhisho...
Bwana Yesu asifiwe
Watu wengi siku izi wanaogopa kuoana kwa kuhofia kuja kuachana, ikiwa hawajui km NDOA ni ulimwengu Wa FURAHA.
Kuachana in kitendo mke na mume kufikia hatua kukubali kuvunja...
Huu ndio UKWELI MCHUNGU
1. Kamwe usiishi na mwanaume ambaye hujaolewa naye, usiishi na 'boyfriend' wako kinyumba hata kama ni mchumba wako, utaonekana uko 'cheap' na ndoa unaweza ukaisikia kwenye...
Habari zenu ndugu zangu..nahitaji mtu wa kushauriana ktk masuala ya kutafuta maendeleo iwe biashara ..kilimo au utoaji huduma halali ambayo itatuingizia kipato..mm niko kny age of 40s..ni...
Dondoo 10 muhimu sana kwa walezi /Wazazi na Wazazi watarajiwa wote
1. Mkanye mtoto wako wa kike na hata wa kiume kuhusu kukubali kupakatwa hovyo, bila kujali ni nani anampakata, hata kama ni...
Habarini humu wapendwa!!!
Siku hadi siku wale wanaume wenye mambo hasa ya kiume wanazidi kupotea,wanaume wengi wamepoteza majukumu muhimu yanayomtambulisha kama mwanaume,kwa kukosa utambulisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.