Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sababu hasa ni ipi? Kwani nimesikia wengi sana wakisema ni lazima kuoga baada ya kumaliza kujamiiana, mpaka leo sijaelewa sababu hasa ni ipi?
5 Reactions
156 Replies
32K Views
Katika ulimwengu wa leo, kuna kitu ambacho nimeshindwa kabisa kuelewa kinafanywaje, japo kukiri huku kunaweza sababisha wanaume wengi wasinielewe. Mie sijui kabisa kutongoza mwanamke tuliyekutana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi poleni na majukumu ya hapa na pale, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa kawaida baadhi ya wanawake hulinda ndoa zao kwa kutumia limbwata ili kuzitawala familia zao hasa...
7 Reactions
68 Replies
12K Views
Habari zenu wanajamvi, Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaJF wote, zaidi sana wale walijitokeza nilipotoa tangazo la kutafuta Mr. Right. Napenda kuwataarifu kuwa tumeendelea na mikakati...
10 Reactions
166 Replies
18K Views
Habari wanajamvi, Naomba kuleta uzi huu kuomba ushauri, Eti ni sawa kuachana na mpenzi wako alafu anakuja kuolewa anakuomba mchango wa harusi yake?
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Habarini, Nakuja,humu jamvin nahitaj mke, awe na Umri kati ya 20-35,awe hajaolewa,awe amejiajiri/kuajiriwa,atakayekua na mapenz ya dhat nami,awe mkristo,atakayekua tayar kuish nami mahali popote...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Heshima kwenu wakuu, Hivi kwanini watu hawana roho ya huruma kwa wale wawapendao? ni Jeuri ya kupendwa na watu wengi au? Unakuta umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini...
6 Reactions
44 Replies
9K Views
Kuna mdada miaka 35 anaitaji mume mtanzania umri wake uwe miaka 45 na kuendelea hata kama ana watoto haina shida ila wasizidi 3, yeye hana mtoto kabila lolote dini yoyote yeye, ni mkristo elimu...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Kama mada inavyojieleza... Nimepata kuwahi kukutana na kusikia tena kwa masikio yangu ya nyama wanawake walio wengi wanatamani kuwa wangezaliwa wakiwa na jinsia ya Kiume. Wengi wao wanasema...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari za jumatano wanajamvi, bila shaka mmeamka salama kabisa. Leo nimekuja huku kuomba ushauri maana tangu usiku sijalala kichwa kinawaka moto.Nimeoa miaka minne ilitopita, kabla ya hapo...
15 Reactions
269 Replies
34K Views
Mimi ni msichana nina mpenzi wangu ambaye nampenda ila nikiwa na shida huwa najishauri sana kumuomba hela,sipendi hiyo hali lakini nitafanyaje,sina kazi na bado nasoma,japo nikimuomba ananipa...
6 Reactions
154 Replies
16K Views
Habarini za saivi wana JF. Mwaka 2012 niliondoka nyumbani Arusha nikahamia Dar. Tulipokuwa Arusha tulikua na mfanyakazi wa kinyaturu, basi huyu dada hakuwa mchoyo wala hajui kukataa ukimuomba...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
ni kama best friend hivi ! tatizo yeye akipiga story na wanaume mie nikiona na chukulia poa maana sio mchumba wangu .lakini mie akiniona na piga story na msichana anachukia na hata nikimpa hai ataki
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Never on Earth commit yourself to marry a woman raised by a single mother... You will regret it and ending up in a shame divorce.? Hivi ni kweli msemo huo juu tuanze kuwa tunawauliza baba zao...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
WanaJF, HIvi karibuni nilileta habari ya Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi.. Kila zao humea na magugu. Namaanisha kuwa licha ya ushauri mzito nilioupata...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hellow, Mimi nakaa nyumba moja na rafiki yangu ambae ni teacher wa sekondari, na kwenye bajeti yetu ya mwezi kila cku tumeweka portion ya watu 2, kwenye swala la msosi. Juzi Juzi ticha...
9 Reactions
128 Replies
15K Views
Katika harakati za kutafuta mume ilikuwa hivi: Nilipendana na kaka mmoja wa Singida. Huyu kaka aliniambia anataka nimpeleke kwa wazazi ili akajitambulishe na tufunge ndoa kwakuwa mwanzo...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Wazinzi hawana akili kabisa, kwani wafanya jambo litakalowaangamiza wenyewe. How do you say no to sex? A direct and simple answer, You just say no. If they try to push you, then you step away...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Jamani ndugu zangu nimeona hili jambo nililete kwenu ili wenye tabia kama hizi wajitaidi waachane nazo kabisa. Kuna jamaa yetu hapa mtaani alikuwa na urafiki na anko fulani hapa mtaani,huyo anko...
18 Reactions
161 Replies
22K Views
Kuna wanawake wanaoamua kutokuolewa na wanapendelea kuwa na mabwana, hawa mabwana either wanakuwa waume za watu, waliofiwa na wake zao au wanaume waliochelewa kuoa. Faida za kuwa mistress: -...
4 Reactions
141 Replies
12K Views
Back
Top Bottom