Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu salaam zenu, Nimebarikiwa sana kutokana michango yenu ya mawazo kuhusu suala hili ambalo karibu wote mlishauri nimuoe mdogo wa mke wangu. Nilipata matatizo ya kumpoteza mwenzangu miaka...
2 Reactions
51 Replies
9K Views
Ni mara ngapi na kwa kiasi gani umekua ukitatizwa na kuanzisha mahusiano na mwanamke, lakini tatizo ni kwamba amekuzidi kwa mambo mengi (mostly kipato.) Uhusiano na watu kama hao wakati mwingine...
2 Reactions
2 Replies
986 Views
Naamini nyote ni wazima humu ndani na wale wenye matatizo na shida mbalimbali Mwenyezi Mungu awape njia. Ok swala langu ni moja hapa,week ijayo naenda ukweni,swala hasa kwanza nikutoa fine kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini ndugu wanajukwaa. Kuna rafiki zangu wapatao watatu ambao tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi na kusaidiana hata kiuchumi na maarifa, Tumekuwa tukiishi kindugu kabisa. Wawili wana...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanaume wengi sana hasa hapa kwetu TanZania hujifanya kwamba wao ni hodari sana wa ngono, yaani wanajiita lijali na wanaweza kulala na Wanawake muda wowote na kuwaridhisha, na hii siyo hapa Bongo...
2 Reactions
41 Replies
8K Views
Habari ndugu zanguni, Nimeamua kuwashirikisha hili, nina binti ana 21 yrs saivi yupo form 6, nimempenda sana na nahisi nitamuoa, lakini namzidi sana, namzidi 8 years. Itakuwa couple nzuri kweli...
3 Reactions
218 Replies
26K Views
Mwanzo nilikuwa mbishi mbishi kukubali kuwa ni ujinga kuanzisha mahusiano na mwanamke ambae ameshazalishwa na mwanaume mwingine(single mother) labda pengine huyo mwanaume wake awe ametangulia...
7 Reactions
147 Replies
15K Views
Ndugu zangu napenda kuwashirikisha kisa hiki cha jirani yangu ili muwe makini na hawa washauri wa familia zenu. Jirani yangu amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya (Pumu) kwa muda mrefu hali...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Nimeona nyuzi nyingi zikijadili wanawake kwa kuangalia makabila yao lakini wanaume tumekuwa tukikwepwa hasa linapokuja swala la mahusino. Nataka nipate "clue" huenda nikachangamkia mwanamke wa...
0 Reactions
297 Replies
36K Views
Ndoa inayotarajiwa kufungwa inaweza kuzuiwa kwa pingamizi.Sheria ilishaweka utaratibu maalum wa kuzuia ndoa kufungwa kwa wale wenye malengo ya kufanya hivyo. Badala ya kutumia fujo,mabaunsa na...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Mahusiano au ndoa mwanzo wake unakua mzuri sana kila mtu anakua na juhudi kwa kila kitu mitoko mingi, kupeana zawadi na manjonjo ya kila aina wakati wa tendo la ndoa.Kadiri mahusiano ynavyokua...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau hope mko fine. Nimekua nikifuatilia matukio mengi na changamoto tunazokumbana nazo kuwa mara nyingi utokana na tabia za wivu. * Fulani mambo yake yanaanza kubadilika toka apate kazi yake...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
TAFADHALI KUWA NA HURUMA. Sio sawa kabisa kuingia katika mahusiano na mtu na kumfanya atengeneze hisia za kukupenda wewe, kumfanya mtu aamini kuwa wewe ni wa tofauti na wale wote ambao wamekwisha...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Nina bahati mbaya sana na huyu mume wa mtu, jirani yangu. Siku moja mke wake kaniita shemeji naomba uje unipe ushauri, kwa heshima na tahadhima nikaenda, tukawa tumekaa kitako akinieleza masahibu...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Tujadili pamoja,tabia ya umalaya,husababishwa na nini hasa,na ni kundi gani ndani ya jamii linaloongoza? Yaani wanandoa,wanafunzi, house girls,wamama wa nyumbani,wafanyakazi,ma bar maida au?...:)o_O
2 Reactions
16 Replies
7K Views
toka nimeanza kutumia mitandao ya kijamii fb,twitter na jamii forums naonaga watu wanatafuta wachumba. SWALI: hv ni kweli kuna m2 ameshawahi kumpata na wakakaa nae zaid ya miaka 5 kama yupo aseme .
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Kwanza nikiri wazi kuwa mada ya "Ulishawahi kujutia mchepuko?" ndo imenikumbusha hii habari ya huyu bwana nikaona nishee nanyi pengine kuna kitu cha kujifunza. Ni mume mwenye mke wa ndoa kabisa...
8 Reactions
86 Replies
8K Views
Mimi ni kijana wa kiume nnaejielewa vzuri tu. Natafuta mchumba awe na umri kuanzia 24-30yrs, elimu kuanzia kidato cha nne, awe mkristo na mkazi wa Dar es salaam. Its seriously wanajamvi tuache...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mabaye nimeoa na nimebahatika kupata watoto wawili na huyo mke wangu. Mimi ni mtu ambaye sipendi kuanika sana mambo yangu na familia yangu hadharani hasa kwenye social media. So hio...
5 Reactions
94 Replies
8K Views
Unaweza kusema unampenda mtu kisha ukamuongoza katika njia zisizofaa? Unaweza kusema unampenda mtu kisha anapokosea unakaa kimya? Unaweza kusema unajali? Je huu ni upendo wa kweli? Wenye upendo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom