Joel Johansen
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 242
- 319
WanaJF,
HIvi karibuni nilileta habari ya Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..
Kila zao humea na magugu. Namaanisha kuwa licha ya ushauri mzito nilioupata kwenye maoni yenu lakini hawakukosekana wa kunidhihaki na wa kunitusi hadi kwenye PM. Shukrani za dhati ziende kwa walioniandikia waraka mrefu wa kunisihi na kunielewesha why I'm wrong, nilistaajabu...kwamba how the heck some people will care about anonymous guy situation like this!
Watu wengi wamepinga mimi kutelekeza mwanetu, ila naweza kuachana na mke wangu and it's not that much of a big deal as long as ntafuata taratibu za Taraka.
Anyway, haya dio maamuzi niliyofikia na ni kwa ushawishi wa baadhi ya comments kama nilivyoziquote chini ya maamuzi yangu: NIMEAMUA KUMTALAKI MKE WANGU NA KULEA MWANANGU HADI UMRI WA KUMCHUKUA KWA MAMA YAKE UTAKAPO FIKA (niliambiwa ni 7 years), baada ya hapo sitaendelea kumtumia mwanamke huyu pesa ya matumizi ya mtoto bali nitamchukua na kumlea mwenyewe, pia inaweza isifike hiyo miaka 7 nikawa nimeshamchukua mwanangu.
Baadhi ya maoni ya wadau yaliyonifanya nifikie maamuzi haya ni kama ifuatavyo:
@Kaunga
Uliwahi mno kuoa. Tena dini au imani tofauti. Chakarika, na yeye msupport arudi shule, baada ya hiyo miaka 5 rudi kamtafute ukiona na yeye akiona inafaa kuoana basi oaneni upya lkn mkiwa imani moja…
@motonkafu
Nakubaliana na wewe wanawake wengine wanaleta gundu ndani hufanikiwi ng'o but akisafiri ata wiki unapata fursa kibao
@chinchilla coat
kama imeshindikana kabisa, na kweli kabisa kwamba huyo wife umeshindwa kumbadilisha achana nae,
ila nina wasiwasi inawezekana labda kutokana na immaturity yake au yako akawa mjeuri na asie mwelewa lakini akabadilika kadri atakavyo pevuka kiakili na kimaisha,
anyway mimi naamini sana kwenye family but sio kuishi na mtu unreasonable just for the sake of family
@Heaven Sent
Fine anaweza akamuacha huyo mke , but kumtelekeza mtoto wake ndo kinachonishangaza….
@Patience123
Immaturity ya mkewe inaweza ikawa chanzo cha mgogoro unaomkatisha tamaa dogo. Nimeshaona sana hii shida, wanawake wanao olewa na umri mdogo wengi wamekuwa 'headache' kwa waume zao au familia za waume zao…
@mvua
Leaving his wife is one thing, but abounding the child is another! …
@muxar
Do what you think is right and not what is fair,life has many to offer.Whether umefaulu or not,usimsahau mtoto.
@brenda18
We tafuta ukishakuwa vizuri utawarudia
NASHUKURU KWA WOTE WALIOGUSWA NA KWA NAMNA FLANI WAMESHIRIKI NIFIKIE MAAMUZI AMBAYO HAYATAATHIRI MAISHA YA MTOTO (in other sense, taraka is okay taratibu zikifuatwa) MAANA KAMA VILE MMOJA WENU ALIVYOSEMA KWAMBA; MAFANIKIO YA MTOTO HUTEGEMEA BABA YAKE 100%