Kwanini watu huoga baada ya kujamiiana?

Kwani ni nini maana ya uchafu? Hata hivyo sio kweli kwamba tumeambiwa LAZIMA tuoge kila tunapomaliza kufanya tendo la ndoa.

Mfano ukimaliza na mke wako usiku, hakuna kuoga ataenda tu kunawa kisha tutalala.

Mathalani mchana au asubuhi, hilo zoezi linawezasababisha mtoke jasho. Unaweza kutembea mchana na hilo jasho mchana kutwa? Hapo kuoga ni muhimu japo sio lazima.

Huo ni uzoefu wangu.
 
Huwa naoga karibia kia siku lkn siyo kwa sababu ya kujamiiana bali kwa sababu nyingine zote za usafi, lkn sijaelewa ni kwa nini watu wanasema ukimaliza ni lazima ukaoge, kwani kuna uchafu gani kwenye kujamiiana?

Kuna uchafu wa manii.......
 
Back
Top Bottom