Kuna mdada miaka 35 anaitaji mume mtanzania umri wake uwe miaka 45 na kuendelea hata kama ana watoto haina shida ila wasizidi 3, yeye hana mtoto
kabila lolote dini yoyote yeye, ni mkristo elimu yoyote yeye ana elimu ya chuo na anafanya kazi jijini DSM, tuma email yako pm nikuunganishe nae.
Asanteni