Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,775
Kuna wanawake wanaoamua kutokuolewa na wanapendelea kuwa na mabwana, hawa mabwana either wanakuwa waume za watu, waliofiwa na wake zao au wanaume waliochelewa kuoa.
Faida za kuwa mistress:
- Hufui nguo za mwanaume, akitoka kazini anapitia kwako, nguo anaenda kufua mke wake, house boy au anafua mwenyewe weekend.
- Hupiki chakula, mara nyingi anakutoa kwenda kula sehemu sehemu.
- Ananunua zawadi maaana anapenda kukupa furaha muda mwingi.
- Huna kelele za mawifi kukuchukia, mama mkwe hakupendi, hujui hata ndugu zake.