lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 904
Kama mada inavyojieleza...
Nimepata kuwahi kukutana na kusikia tena kwa masikio yangu ya nyama wanawake walio wengi wanatamani kuwa wangezaliwa wakiwa na jinsia ya Kiume.
Wengi wao wanasema kama wangepewa priviledge na Mwenyezi kuchagua kati ya Jinsia ya "KIKE" au "KIUME", wangependelea jinsia ya KIUME badala ya KIKE.
Ila binafsi sikuwahi kupata Mwanamke/Mwanadada akanieleza kwa kina kabisa kwanini aendelee jinsia ya kiume badala ya kike.
Nahitaji majibu kutoka kwa Wanawake wa JF... Hata kama wewe ni wa kiume na umebahatika kujua/kuambiwa/kuelezwa sababu unaweza kutueleza hapa kwa faida ya wanajamvi wenye swali kama hili.
Nawasilisha.