mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,223
- 22,380
Jamani ndugu zangu nimeona hili jambo nililete kwenu ili wenye tabia kama hizi wajitaidi waachane nazo kabisa.
Kuna jamaa yetu hapa mtaani alikuwa na urafiki na anko fulani hapa mtaani,huyo anko alimfanya kama vile kijana wake akiwa na shida alikuwa anamsaidia mana jamaa mwenyewe alikuwa tu ni kinyozi maisha yake yalikuwa sio mazuri.
Huyu anko yeye alikuwa anauwezo kwahiyo maisha yake kidogo mazuri na ni mtu wa dini sana mda yani ni swala 5 na pia ni mtu wa huruma sana maana kuna siku alimchukua jamaa akampeleka kwake akamwambia siku ukikosa hela ya kula we njoo hapa hata kama mie sipo mwambie tu ma mdogo wako.
Basi jamaa ikawa akikosa hela anaenda kwa yule anko mwisho wa siku wakawa na mahusiano na bi mkubwa,jamaa alikuwa analala kwenye nyumba ya jamaa isiyoishi ila ghafla tukashangaa jamaa kapanga chumba kanunua na feniture za kisasa kumbe bi mkubwa alikuwa anamuwezesha.
Watu tulipogundua tukawa tunamsema kuwa sio vizuri na ipo siku jamaa atagundua tu,yeye akawa anajipa moyo kuwa yule anko ka mshika wala ana wasiwasi nae,leo hii ninavyongea jamaa tumepanga tumsafirishe na treni hadi kwao maana hali yake imezidi kuwa mbaya sana.
Jamaa kilimuanza kipele kidogo sana chini ya unyayo kikawa kama kidonda baadae likaota dude kama toki karibu na sehemu ya siri, yani dude lenyewe limeiva mpaka paja limekuwa jekundu yani hata kuongea hawezi.
Yule anko kuna siku alikuwa kumuona jamaa baadae akamwambia mzee fulani ambaye nae ni wa hapa mtaani kuwa dogo hawezi akapona maana hii inaonekana kaingia kwenye tego la mtu.
Waganga wameshindwa kufanya kazi wamemwambia kuwa kama kuna mtu umemtendea ubaya basi kamuombe msamaha,tunashindwa kumfuata yule anko kumuombea msahama tunafikiria tutaanzaje.
Hii ni fundisho ndugu zangu tuacheni hii tabia jamaa anatia huruma sana.