Mimi heri lee nahisi nina tatizo kwani kila nikiona demu yeyote hapa chuoni natamani nimtongoze nina miaka 20 na najitahidi kuepuka lakini imeshindikana na nisipofanya hivyo nakuwa na mawazo kutwa...
Huu ni ukweli usiopingika kua kwa sasa kutafuta wachumba na marafiki kumekua mara dufu ya zamani katika jukwaa letu la kutafuta wachumba na marafiki kupitia LOVE CONNECT, Au tuseme huko nyuma...
Kwa aliye tayari kuwa mke anakaribishwa vigezo kama vifuatavyo.
awe na elimu atleast form four
kazi si lazima awe nayo
kabila lolote
rangi yoyote
umri 20-26yrs
Kwa aliye serious aje PM tupate...
habari zenu jamani...moja kwa moja kwenye mada
mimi nina umri zaidi ya miaka 30 na mpaka sasa sijawahi kumtongoza mwanamke uso kwa uso...yaani mie domo zege. toka nikiwa na miaka 24 nimekuwa mtu...
Katika suala la kuolewa nimekubali kucheza kwenye harusi za mwenzangu na nimeamua kubaki kuwa mtazamaji kwetu wakinichoka nitaenda kupanga niendelee na maisha.
Nitawatazama tu wanawake wenzangu...
Wasee niajeee?
My story, sahii naandika niko kwa keja ya mbochi wa Akina Lisa.
For the time being huyu mbochi anachorwa na professor wa UoN na mimi ni mstudent wa hiyo Campo na huyo profo...
Mimi ni MWANAUME mtu mzima naitwa ROBIE.Kwa heshima kubwa napenda kutafuta mwanamke awe mtu mzima mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi,awe aliyeamua kuishi maisha ya kulinda afya na ambae...
Queen Elizabeth said, 'If you love an Army Officer, raise your glass.. And if an Army officer loves you.. Raise your head and walk like a QUEEN'.
UNQUESTIONABLE LOYALTY
We have a high calling...
Hivi ni kweli kuwa unaweza kumtazama mtu machoni na kuelewa nia yake au kama ni mnafiki, kuna jambo anafahamu, au kakutenda, kafanya mauaji hivi inawezekana?
Wana saikolojia na wengineo naombeni...
Habari zenu wakuu.
Mke wangu amejifungua siku za hivi karibuni lkin namna ya kuishi humu ndani imebadilika saa ni hiv..Mtoto wetu mchanga hana kawaida ya kulala usiku yeye ni mchana tu.
Ikifika...
NIMEIKUTA MAHALI NIKAONA NI VIZURI KU-SHARE
Kuna dada mmoja nikikuwa namfahamu miaka mingi sana. Kama miama 15. Kipindi hicho tukiwa ni wasichana wa miaka 25. Dada huyo ghafla akawa na mahusiano...
Habari zenu!
Wanaume wengi hujikaza sana wanapotaka kumtokea mwanamke mzuri au aliyesoma. Hii inaonesha jinsi wasivyojiamini ndo maana wengi hukimbilia kutongozea mitandaoni.
Ukimtazama sana...
I had this conversation with a girl I was seriously thinking of getting married to. WE were good friends, but not quite madly in love. Did I make the wrong decision? What would you do if you were...
Wapendwa nina dada yangu ambaye amezaa mtoto mmoja na mzazi mwenzake awali walikubaliana na huyu mzazi mwenzake wazae lakini mara baada ya kushika mimba jamaa alibadilika akagoma kutoa matumizi...
Maisha ni mapambano ambayo mwisho wake ni kifo tu..Na kumekuwa na changamoto kadha wa kadha ambazo hutu-keep busy sana tuwapo hai na ghafla hujikuta kwenye nyumba yetu ya milele tumepumzishwa ili...
Story ipo hivi kulikuwa na mdada ambaye alizaa na kaka yangu wakaja wakaachana. Huyo dada alikuwa na dada yake ambaye alikuwa na mtoto wa kike. Dogo huyo mi ndo natembea nae.
Jamani nyie...
Habari wana JF.
Nina ndugu yeye yupo kwenye ndoa toka akiwa mwaka wa pili na anamaliza elimu yake ya juu(Engineering) mwaka huu.
Katika stori za hapa na pale tukawa tumegusia hilo suala la...
Habarini,
Kongamano lilirushwa ITV leo asubuhi, Topic yao walidai usawa katika uongozi serikalini baina yao na wanaume.
Walilalamika kuwa wanakutana na changamoto kama kuombwa rushwa ya ngono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.