Hii sentensi ina ukweli gani?

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
351
Never on Earth commit yourself to marry a woman raised by a single mother... You will regret it and ending up in a shame divorce.?

Hivi ni kweli msemo huo juu tuanze kuwa tunawauliza baba zao wako wapi?
kama tuna amua kubeba mzigo tunabebe tukiwa tunajua kuna siku yake ya balaa?
 
Hapana Buswelu,

Their misfortune was not self inflicted ... there are so many misfortunes that can befall anyone but i believe this does not affect the inner most person one is ... There are things that come naturally mathalan love ... there is no difference between the two groups ...vitu vingine just needs kufundishwa, then one can adjust ... otherwise hata shuleni pia wangewabagua watoto kama hawa .... who unfortunately are many.

how then do you judge a child whose father died when she was only an infant .. would you not really want to marry her just because of this situation ...

and hey, look here my friend ... most men these days are becoming very irresponsible, hata akiwepo nyumbani anakuwa kama picha tu ... this category is growing daily infact most women are raising their kids single handedly ... you will agree with me that such kids can live in any kind of situation because they know life in reality as they see their mother suffer and try to make ends meet ... they know the value of sacrificing ones self for the sake of the other ... they learn patience in its essence ... they also learn to depend on God as most of the time they pray for their mothers to succeed.
 
As far as I know, never on earth commit yourself to marry , or commit period anyway.

But far above that, as Ian Fleming would have it, never say never except when saying never say never.

Or is it never say never even when conveying the futility of blatant and categorical denials?
 
To begin with, it seems to be a human trait to dislike and distrust anyone we perceive as being "different." It also seems to be a human trait to judge groups of people by the actions and attitudes of a few. And it also seems to be a human trait to think that what we believe, how we live, and what we are is the only "right" way to believe, live, and be.

When we judge people and groups based on our prejudices and stereotypes and treat them differently, we are discriminating them based on no fact. This discrimination can take many forms. We may create subtle or overt pressures which will discourage persons of certain groups from living their normal lives.

Personaly I am against that statement!
 
Why should you punish a person for a crime which he/she never committed or was never part of? I think thats what we call kunyanyapaa..kwani unadhani kuna anayependa kuzaliwa kijijini kwa wazazi fukara au kwa wazazi tajiri? its all a devine destiny. huwezi panga uzaliwe kwenye familia gani...its only social constructions zinazotusibu... It would be a gross misgivings to punish somebody simply because she was born outside the wedlock.

Mbona kuna wanaume wanazaliwa nje ya wed lock au kukua bila kuwaona wazazi wao?, do you think they should be punished also? Bill Clinton for one, he never saw his father...and his surname belongs to his baba kambo..but dont you think he grew up to be a man of substance?

In conclusion, that staement is bad and unfit to be discussed by anyrespnsible humans.
 
Never on Earth commit yourself to marry a woman raised by a single mother... You will regret it and ending up in a shame divorce.?

Hivi ni kweli msemo huo juu tuanze kuwa tunawauliza baba zao wako wapi?
kama tuna amua kubeba mzigo tunabebe tukiwa tunajua kuna siku yake ya balaa?Niseme kwamba moja ya homework mwanaume anayechumbia kufanya ni kumfahamu vizuri mama wa binti husika. Mtoto wa kike hurithi (not biologically) sehemu kubwa sana ya tabia ya mama yake..
 
Ka nini mnafikiri wanawake wote waliolelewa na single mothers wako sawa?

Kuna wengine mama zao walikuwa hos, nao wanakuwa hos (pardon my french) hao ogopa.

Kuna wengine baba zao walikuwa jerks, mama zao wakawa strong women, na wao wanakuwa strong women.If you are a strong man this is an attractive characteristic.

Kuna wengine kwa sababu hawakuwa na father figure basi wataku-daddy-O mpaka utajisikia. Depending on how you like to be daddy-Oed, this could prove very sexy.

Kuna wengine wanakuwa hawaamini wanaume, some men like the challenge of restoring that faith.This could get very seductive.

Kuna wengine wako kawaida tu, na wanahitaji mapenzi kama mtu yeyote.

Kwa hiyo, unaweza kupata ho aliyelelewa na baba na mama, au unaweza kupata ho aliyelelewa na mama tu.Kulelewa na mama tu si kigezo, kuna a million and one reasons, like Einstein, simplify it but do not oversimplify.

Like weezy, excuse my French.I believe the effect was warranted for proper narration.
 
Perception aliyonayo binti kuhusu baba yake itafanana sana na jinsi anavyowaona wanaume. Sasa babake kama anaishi na mwanamke mwingine halafu ukute mama mtu anamsema vibaya mzazi mwenzie, ....ni balaa rafiki yangu!

Zingatia post yangu hapo juu, usifanye assumptions..
 
Perception aliyonayo binti kuhusu baba yake itafanana sana na jinsi anavyowaona wanaume. Sasa babake kama anaishi na mwanamke mwingine halafu ukute mama mtu anamsema vibaya mzazi mwenzie, ....ni balaa rafiki yangu!

Zingatia post yangu hapo juu, usifanye assumptions.

.

Lazydog u a lazy dog,

Sasa mbona wewe unakataza assumptions wakati wewe mwenyewe una assume mama mtu atakuwa ana m bad mouth baba?

Hujui kuna wanawake wengine wanaachwa na wanaume jerks halafu bado wanampaint absentee father vizuri kwamba ni circumstances tu na alikuwa mtu mzuri?

Hapo huoni negative assumption yako inavunjika?
 
Lazydog u a lazy dog,

Sasa mbona wewe unakataza assumptions wakati wewe mwenyewe una assume mama mtu atakuwa ana m bad mouth baba?

Hujui kuna wanawake wengine wanaachwa na wanaume jerks halafu bado wanampaint absentee father vizuri kwamba ni circumstances tu na alikuwa mtu mzuri?

Hapo huoni negative assumption yako inavunjika?


Why do you expect me or anyone to be perfect?
Forget I said "usifanye assumptions"

Now, what are you saying?
 
I forgot you ever said "usifanye asumptions"

Nakwambia

usifanye assumptions!
 
Niseme kwamba moja ya homework mwanaume anayechumbia kufanya ni kumfahamu vizuri mama wa binti husika. Mtoto wa kike hurithi (not biologically) sehemu kubwa sana ya tabia ya mama yake..

...'sema weye kiazi, nikisema miye muhogo naambiwa mchungu', niliwahi kuuliza hilo huko nyuma kwenye thread nyingine kama mkwe ni taswira?, nikaambulia madongo!

it's not stereo typing, ni facts inaonyesha kwa kiasi kikubwa upungufu wa maadili katika jamii, haswa pale inapopelekea mama kujiweka kifua mbele bila kumhusisha baba katika malezi.

Nimeoiona mifano dhahiri, bibi alizaa na wanaume kadhaa, mama akafuatia, na mjukuu anaelekea huko, haikuwa na maana bibi alikuwa 'ho', la hasha, ila mama kufuata kisha mtoto naye inasikitisha kwamba huenda kitukuu naye akapotelea huko huko.

Anyway, ni maoni yangu tu hayo, najua ukweli utawagusa wengi, lakini ni bora kuutambua ukweli kuliko kuukataa kwakuwa huupendi.
 
I forgot you ever said "usifanye asumptions"

Nakwambia

usifanye assumptions!


Sorry man, my mistake! I did not make that statement in response to your post just before mine. Wala sikuwa nimeona yako wakati naandika yangu. I almost always QUOTE ninapotoa comments in response to someone's post.
Samahani..
 
Never on Earth commit yourself to marry a woman raised by a single mother... You will regret it and ending up in a shame divorce.?

Niliposema usifanye assumptions nilitaka kusema we should not make any conclusions to the statement above as there are a number of scenarios to this case!

Bw. mchongoma hata mimi nimeona mifano dhahiri kadhaa.
Nawasifu sana wazazi waliotengana lakini wakavumiliana na kujitahidi kutojenga uadui, wakawa na ukaribu fulani for the sake of their children..
 
Kusema kweli sentensi hiyo ya Buswelu ina ukweli mkubwa tu japo kuna exceptions. Sasa ni wajibu wa mtu kutafuta hizo exceptions na kufanya maamuzi. Mambo ya kuoa yanataka umakini si kuingia kichwa kichwa!!!
 
Kusema kweli sentensi hiyo ya Buswelu ina ukweli mkubwa tu japo kuna exceptions. Sasa ni wajibu wa mtu kutafuta hizo exceptions na kufanya maamuzi. Mambo ya kuoa yanataka umakini si kuingia kichwa kichwa!!!

Hiyo sentensi haina data za kutosha kutoa an informed opinion.Ili kutoa angalau opinion yenye akili kidogo inabidi ueleze yafuatayo.

1. Baba na mama walioana au hawakuoana?

2. Waliachanaje? (Kuna kifo, kuachana kwa maelewano, kuachana kusiko maelewano etc)

3.Katika kuachana (assuming si kifo) nani alisababisha msambaratiko?

4. Kuna msaada unaotolewa na baba?

5. Mama anamuongelea baba? Anamuongeleaje?

6. Uhusiano wa mtoto na baba ukoje? Mtoto anamthamini baba au hamthamini?

7. Baba ameoa tena au kuwa na "mama" mwingine? Uhusiano wa mtoto na "mama" mwingine pamoja na watoto kama wapo ukoje? Uhusiano huu unawezaje kuathiri uhuasiano wa baba na mtoto?

8. Mazingira ya kiuchumijamii ya mama na mtoto yakoje? Kuna ma extreme feminist wanaamini baba kazi yake ni kuzalisha halafu kujikata, hana umuhimu katika kumlea mtoto hususan kama mama ana kipato na support ya wanawake wenzake.

9. Mtoto mwenyewe ana maarifa kiasi gani na kiasi gani anaathiriwa na mazingira yake?

10. Mwanamme anayetaka kuchumbia anataka nini?
 
Thats why i like Jamiiforums...
haiwezekani watu wakawa na mawazo sawa bila kutofautia kimtizamo.
lazima kutakuwa na tatizo sehemu,kuna mtu hafikilii kabisa....

Thanks kwa comments.
 
Thats why i like Jamiiforums...
haiwezekani watu wakawa na mawazo sawa bila kutofautia kimtizamo.
lazima kutakuwa na tatizo sehemu,kuna mtu hafikilii kabisa....

Thanks kwa comments.

...aisifuye mvua si imemnyea? mie nilishaumwa na huyo nyoka,....! kama hayajakusibu huwezi jua 'kunguni' wake!

Ahsante nawe Buswelu kwa kuanzisha mada hii.
 
na kama mvulana anaishi na baba anayempiga mkewe, utegemee kupighwa sana ukiolewa nae?
 
Back
Top Bottom