I had this conversation with a girl I was seriously thinking of getting married to. WE were good friends, but not quite madly in love. Did I make the wrong decision? What would you do if you were...
Wapendwa nina dada yangu ambaye amezaa mtoto mmoja na mzazi mwenzake awali walikubaliana na huyu mzazi mwenzake wazae lakini mara baada ya kushika mimba jamaa alibadilika akagoma kutoa matumizi...
Maisha ni mapambano ambayo mwisho wake ni kifo tu..Na kumekuwa na changamoto kadha wa kadha ambazo hutu-keep busy sana tuwapo hai na ghafla hujikuta kwenye nyumba yetu ya milele tumepumzishwa ili...
Story ipo hivi kulikuwa na mdada ambaye alizaa na kaka yangu wakaja wakaachana. Huyo dada alikuwa na dada yake ambaye alikuwa na mtoto wa kike. Dogo huyo mi ndo natembea nae.
Jamani nyie...
Habari wana JF.
Nina ndugu yeye yupo kwenye ndoa toka akiwa mwaka wa pili na anamaliza elimu yake ya juu(Engineering) mwaka huu.
Katika stori za hapa na pale tukawa tumegusia hilo suala la...
Habarini,
Kongamano lilirushwa ITV leo asubuhi, Topic yao walidai usawa katika uongozi serikalini baina yao na wanaume.
Walilalamika kuwa wanakutana na changamoto kama kuombwa rushwa ya ngono...
Habari wana jamvi?
Nimekuja kwenu kuomba kibali cha uhalali kama ni haki kumuandaa binti angali mdogo kabisa ili uje kumuoa baadae. Nasema hivo maana hawa age-mate wenzangu kambi ya upinzani...
Kwa aliye tayari na seriously naomba asome vigezo hv
Awe Muislam
Awe mcha Mungu
Awe na umri 18-22
Awe na elimu kuanzia kidato cha 6 na kuendelea.
Awe muelewa na mshauri mzuri
Asiwe na stress zake...
Nimekuwa nikijiuliza hili jambo mara kwa mara na kila nikitaka kuliwasilisha kwenu kwa kuwauliza nilikuwa nasahau ila namshukuru sana Mwenyezi Mungu kuwa leo nimeweza kulikumbuka hivyo basi kabla...
Jamani leo ngoja niwaulize, kuna hii kitu ya kwamba nyie mnapenda sana pesa na kwamba hata mnapoolewa mnaangalia sana mambo ya pesa kwa anayewaoa.
Hii kitu ni ya ukweli jamani maana sisi wanaume...
Sekta ya ukandarasi hapa nazungumzia wajenzi wa miundombinu; madaraja, barabara, Majengo, nk
Wafanyakazi wa hii sekta wamekua waharibifu sana wa wanawake ukifuatilia sehemu walipopiga kambi...
Wakuu wazima?
Mke wangu amekuwa mtu wa kuongea maneno yasiyoisha.
Wakati mwingine mnaweza mkapishana na mkaombana msamaha yakaisha lakini anakuja anakumbushia tena.
Mara nyingi ninakuwa nipo...
Huwa nashangazwa saaaaana na jambo hili:
Binti akikaribia kuolewa anatafutiwa mtu wa kumfunda mambo ya ndani (chumbani), wenyewe wanaita Kungwi. Basi anapikwa, anachemshwa, anakaangwa...
Habari wana jamii..
Nimekuja kulimwaga hapa ili nipate ahueni ya moyo. Kwa wale watakaojifunza lolote na iwe hivyo.
Ni miaka miwili sasa nimekuwa na huyu mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana hata...
Sijaolewa wala sijui kama nitaolewa maana sina hata boyfriend!
Huwa nashangaa sana wanawake wenzangu walioko kwenye ndoa wakiwa na mizozo na wanaume zao eti wanajishughulisha na wanawake wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.