Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nothing is as annoying as discovering that your partner sold you a fake image of him or herself before you wedded.
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 19 aliinadi bikira yake kwenye mtandao wa www.ineed.co.nz baada ya kukabiliwa na ukata wa pesa. Mwanafunzi huyo anayejiita "Unigirl" alijitambulisha kuwa yeye...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari JF, Nimejitokeza jukwaani kutafuta mchumba ambae baadae nitamuoa. Nina miaka 30, mrefu wa wastani na kitaaluma ni mhandisi katika kampuni moja hapa Dar es Salaam pia mkristo. Mchumba...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wana jamvi. Nimekuja hapa kuomba ushauri kwenu ili niweze kumsaidia rafiki yangu ambae amezama kwenye penzi la mke wa mtu. Nimejaribu sana kumshauri mpaka imefikia kipindi sasa hivi...
4 Reactions
80 Replies
13K Views
Habari, Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 30 Natafuta mwanadada kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi tu(sio ndoa,ni mapenzi tu) Sifa: Awe anaishi kati ya DAR,MORO,TANGA,MOSHI au ARUSHA Awe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Tangia mwanzo wa kale ngono imekuwa ni kitu cha kuuzwa. Kuna msemo unaosema, “prostitution is the oldest profession”. Ni ukweli kuwa kila mwanaume analipia ngono kwa namna moja au nyingine...
26 Reactions
102 Replies
15K Views
Wadau ni vyema leo tujuzane haya; Hakuna kitu hatari kwenye mwili wa binadamu kama nyeg3, hii hali epukana na usithubutu kuiendekeza, sifa kuu ya nyeg3 ni kumfanya binadamu afikirie kutafuta njia...
7 Reactions
154 Replies
37K Views
Wadau, Mwenzenu nikithaminisha msichana naangalia uso,wezere na miguu kwanza. Sasa kuna wengine usoni wamejipamba ni full kung'aa ila sasa miguu haiongopi. Unakuta mdada ana mabakabaka basi...
8 Reactions
101 Replies
17K Views
Ni ndoto za siku nyingi nilizonazo juu ya kutamani kuwagegeda hao wanawake wakizungu au kiarabu lakini nashindwa pa kuanzia Tatizo sijui kiingereza kwa ufasaha pia nashindwa kujenga urafiki na hao...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Wakuu, Kuna wadada wawili siwasomi kabisa. kila wakiniona mmoja wao anaanza kusema "una hela wewe" mwenzake anaitika "utajiju" afu wanamalizia na kicheko, leo mmoja akmalizia na neno chevu (sina...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Peoplez nawapenda sana nashukuru mungu tumeishi vyema kuanzia January mpaka sasa tunaelekea mwisho wa mwaka ,na tunatarajia kuanza mwaka mpya wa 2011 ,naomba mwenyezi mungu wa upendo atupe salama...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Waziri atoa ushuhuda alivyorubuniwa na fataki Send to a friend Tuesday, 30 November 2010 21:23 0diggsdigg i Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Terezya Luoga...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Miaka kadhaa huko Uchina, Binti aitwaye Li-Li aliolewa na akaenda kuishi kwao mumewe na mama wa mumewe.Ndani ya muda mfupi Li-Li alijikuta hana maelewano kabisa na mama Mkwe wake. Tabia zao...
7 Reactions
17 Replies
6K Views
Asalam Alekhu wanabodi, Natambua uwepo wa wanaMMU wenye kutoa ushauri mzuri, kejeli, matusi, mzaha, madongo, like, bila kuwasahau wa mipasho. Itifaki imezingatiwa. Kuna hili jambo limeshamiri...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hellow, Natumaini wazima wa afya kama
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF, Kuna binti nina mahusiano nae, ni (Bar tender) aliniambia ana ujazito na nimeukubali hadi sasa amejifungua, ila ghafla nimepatwa na hofu na sijui kwa nini,nahisi tu, huyu...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Ukitaka kujua kama mwanamke wako anachepuka simple tu, Chukua simu yake...mtumie meseji rafiki yake andika "Daah shost nina mimba"... Likija swali "Ya nani hyo shoga".....Ujue brothermen huna...
6 Reactions
17 Replies
4K Views
Kati ya Tabia ambazo Wanawake wa Kizazi hiki wanazo,na hawajali,bila kujua zinawaharibia Pozi kinoma,na zinawapa kitu wao wanaita Gundu,kumbe Gundu wamelikumbatia wenyewe,na wanalisababisha...
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Zamani nilikuwa nasikia tu stori za kisekondari juu ya haya mambo lakin kweli wahenga walisema kuwa uyaone. Nilikuwa na mchumba wangu ambaye alikuwa anasoma chuo fulani dodoma nilitokea kumpenda...
2 Reactions
235 Replies
39K Views
Back
Top Bottom