Nahitaji Mchumba(Mke)

kilanio

JF-Expert Member
May 30, 2015
221
69
Habarini,
Nakuja,humu jamvin nahitaj mke, awe na Umri kati ya 20-35,awe hajaolewa,awe amejiajiri/kuajiriwa,atakayekua na mapenz ya dhat nami,awe mkristo,atakayekua tayar kuish nami mahali popote ndani/nje ya nchi.

wasifu wangu:
Umri 28 yrs
Sijaoa.
Na kazi yangu ya kuweka kumuda maisha,

Aliye serious ani Pm kwa mawasiliano zaidi.
Natanguliza Shukrani.
 
wasiliana na ndoa yako counselling and matching center wtakusaidia 0766092952au 0656702505
 
unaharibu wateja wa jukwaa hili,,, kila anaepost unamwelekeza hukO kwani ni wote waishio dar? Au hawapajui huko adi waje hapa? ukiona mtu kapost hapa ana maana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom