Share experience au Nishauri kwa Mkasa huu

Kraizy8

Member
May 12, 2016
20
12
Habarini za saivi wana JF. Mwaka 2012 niliondoka nyumbani Arusha nikahamia Dar. Tulipokuwa Arusha tulikua na mfanyakazi wa kinyaturu, basi huyu dada hakuwa mchoyo wala hajui kukataa ukimuomba mchezo.

Mimi binafsi nilikua najipigia siku nyingine kavu kavu siku ingine natumia condom.Lakini pia dada huyuhuyu alitembea na ndugu zangu sita,watu wa mtaani, madereva bodaboda, fundi kinyozi, mafundi garage na wengineo.

Wakati nikiwa Dar nikasikia fununu ana ujauzito na akasema ni wangu. Baadae akaulizwa tena akasema hajui ya nani. Mtoto nilimwona 2015 sijaona kama anafanania na mimi ila baadhi ya ndugu zangu wanasema kafanana na mimi kwa mbali. Je kama ni wewe utachukua hatua gani?

Ushauri please!!
 
Habarini za saivi wana JF,mwaka 2012 niliondoka nyumbani arusha nikahamia Dar,lakini arusha tulikua na mfanyakazi wa kinyaturu basi uyu dada hakuwa mchoyo wala hajui kukataa ukimuomba mchezo, bhasi mimi binafsi nilikua najipigia siku ingine kavu kavu siku ingine natumia condom.Lakini pia dada uyu uyu alitombwa na ndugu zangu sita,watu wa mtaani madereva boda boda,fundi kinyozi,mafundi garage na wengineo.akati nikiwa Dar nikasikia fununu ana ujauzito akasema ni wakwangu baadae akaulizwa tena akasema hajui ya nani,Mtoto nilimwona 2015 sijaona kama anafanania na mm ila baadhi ya ndugu zangu wanasema kafanana na mm kwa mbali.Je kama ni wewe utachukua hatua gani,ushauri please
Piga tena kavu kavu kwa huyo mnyaturu, mtoto akitoka copy na huyo wa kwanza basi wote wako.
Ulipokuwa unamwagia kavu kavu ulitegemea atoke kitambi au? Zigo lako hilo kaka.
 
Habarini za saivi wana JF,mwaka 2012 niliondoka nyumbani arusha nikahamia Dar,lakini arusha tulikua na mfanyakazi wa kinyaturu basi uyu dada hakuwa mchoyo wala hajui kukataa ukimuomba mchezo, bhasi mimi binafsi nilikua najipigia siku ingine kavu kavu siku ingine natumia condom.Lakini pia dada uyu uyu alitombwa na ndugu zangu sita,watu wa mtaani madereva boda boda,fundi kinyozi,mafundi garage na wengineo.akati nikiwa Dar nikasikia fununu ana ujauzito akasema ni wakwangu baadae akaulizwa tena akasema hajui ya nani,Mtoto nilimwona 2015 sijaona kama anafanania na mm ila baadhi ya ndugu zangu wanasema kafanana na mm kwa mbali.Je kama ni wewe utachukua hatua gani,ushauri please
na afya yako saivi ikoje, maana hio commodity value chain ni balaa!!wewe-boda-geregi-mtaa-wewe tena!

pima kwanza na uache hio tabia. kuhusu mtoto ni probability hadi kipimo cha vinasaba vihusike kuona compatibility yako na huyo malaika(mtoto)
 
kama mimi ndo wewe ningechukua hatua ya kutotumia maneno makali kama ulilotumia wewe maana humh wapo watu wa rika mbalimbali na hasa wakubwa zetu
 
Nijuavyo arusha watu wake wana adabu we zao la wap? Mwenye adabu fup namna hiyo!

Duuu hya tutafanyeje tukusaidie tuu.ila hujipendi km mtu ana orodha ya wanaume na ww ukaona kwenye hiyo orodha usikose.

Angalia muda mulio kutana nae na umri wa mtoto.atagundua kitu
 
mkuu umeombwa uedit msamiati wako hujafanya hicho kitu hadi muda huu..sasa hatukushauri uzi tutaufanya tunavyotaka sisi mpaka uondoe tusi lako.wakuu tuchezeni wa mwisho ndo mshindi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom