Suala la kuwa na mke/mume lina athari gani katika kutafuta ajira?

Princeware

Member
May 30, 2016
42
17
Habari wana JF.

Nina ndugu yeye yupo kwenye ndoa toka akiwa mwaka wa pili na anamaliza elimu yake ya juu(Engineering) mwaka huu.

Katika stori za hapa na pale tukawa tumegusia hilo suala la athari za status ya mtu ya kindoa katika upatikanaji wa ajira na kutolifikia muafaka.

So nkaona si mbaya tukashare na wana jf walopitia au walioona watu walio katika hilo na ilikuaje.

Nawasilisha.
 
kuna waajir linafaida na wengine linaasara kwao, mimi nimekosa kazi juzi kisa nimeoa na nina familia so swezi kuwa easy to move from one area to anather kampuni ya kijerumani
 
Ulichoandika hakieleweki kiwepesi, lakini nijuacho ni kwamba "Gender" mara nyingi ndiyo inayokuwa na athari katika kupata ajira.
 
Unavyoomba kazi ukiwa na familia tayari, unakuwa at a disadvantage, unless uko vizuri sana kwenye hiyo field.

Kikubwa waajiri hufikiria since una commitment ya familia, then obviously familia ndio itakuwa priority badala ya kazi kama wao wanavyotaka.

Pia mwenye familia tayari, huwa na demands nyingi tofauti na ambaye hana.
 
kuna waajir linafaida na wengine linaasara kwao, mimi nimekosa kazi juzi kisa nimeoa na nina familia so swezi kuwa easy to move from one area to anather kampuni ya kijerumani
Thanks mkuu kwa ushauri..
 
Unavyoomba kazi ukiwa na familia tayari, unakuwa at a disadvantage, unless uko vizuri sana kwenye hiyo field.

Kikubwa waajiri hufikiria since una commitment ya familia, then obviously familia ndio itakuwa priority badala ya kazi kama wao wanavyotaka.

Pia mwenye familia tayari, huwa na demands nyingi tofauti na ambaye hana.
Ohh thats great,
Thanks kwa ushauri wako murua
 
Back
Top Bottom