Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,907
Habarini Wadau,
Nimeishi kaskazini kwa muda mrefu, Binafsi sijawahi kusikia wala kuona kidume anayeoa akipeleka mahari babati, Mbulu, karatu au kokote wanapotokea wambulu.
Wengine wanadai bila uhakika kuwa wanatolewa mahari kiduchu sana mfano kuku au debe la asali, Kama wambulu wanatolewa mahari, mahari yao ni ipi?
Sina lengo la kuwadharau wambulu ila nahitaji tu kujua hilo.