Mada husika inajieleza leo nikiwa nimejikalia sehemu napata moja moto moja baridi aakapija mdada ambaye namfahamu uzuri nikamnunulua bia mbili ndo akanipa kitu ambacho sijawahi hata fikiri ikuwa...
Leo unakuta na bi mdada anakwambia ameku fancy, unachukulia kama invitation. Unaanzisha mchakato wa kuchepuka anakupiga stop kwa kukuambia, I fancy you but I'm not in love with you!
Kwetu huku...
Zamani tulizowea kuona watu wanajihusisha kimapenzi na wanaume wakubwa ama wazee na watu walikuwa anaona sawa, ila siku hizi ni vijana wadogo kwa wanawake wakubwa na imekuwa kama kauli mbiu kuwa...
Hivi ikitokea una mwanamke ambae anakunywa pombe na wewe haunywi unawezaje kuishi nae? Unakuta zile harufu za pombe zinakukera na ukimueleza mwenzio angalau aache pombe haachi.
Na kingine...
Hi brothers & sisters,i have got an opportunity to work in Mwanza city..due to that am in need of friends to exchange ideas..
both men & women are needed,if your ready plz u can PM
Thanks!!
Ndio kwanza mmeanza uhusiano ambapo mnaelekea kufunga ndoa, wote bado ni vijana wabichi, hamna majukumu makubwa yanayohitaji fedha, hamna watoto, kwa hiyo fedha mnazopata ni kwa ajili ya kula na...
Namtafuta girl yoyote ambaye kakaa mamtoni kwa miaka anayojua yeye,awe ana mtoto au hana haijalishi as long tukakubaliana tuende next level,....awe UK,nchi za scandanavia au zingine za Asia...
Neno nakupenda ni dogo sana ila moyo wa mwanadamu hulipokea kwa uzito wa juu sana..
Karibu kila lugha duniani wanastahili ya kulitumia ili kumuonyesha aliye naye kuwa anampenda.
Mfano:
KISWAHILI...
Nina jirani yangu alikuja kuomba ushauri kwangu(true story), hakumuona mumewe siku 3 nyumbani na simu haipatikani, bibie pressure juu kibinadamu.
Mwanaume ni fundi mitambo, kawaida huwa anafanya...
Wadau,
Nina ugonjwa ambao ninataka kuuacha lakini nashindwa.
Ni hivi, wote mnajua kuwa ndani ya ndoa zetu huwa hatutumii kinga tukiwa na wake zetu wakati wa tendo, sasa hii imenijengea mazoea...
Kwa kweli nimekosa amani ndani ya nafsi yangu kwa tukio lilinikumba leo hii
Nilikuwa katika mahangaiko yangu lakini nilikuwa nimeishiwa salio kwenye line yangu ya tigo,hivyo nikaenda kuulizia...
wAPENDWA WANA JF WOTE KWA DINI ZOTE NA MADHEHEBU YOTE MIMI NAJIBREKISHA LEO RASMI NIKAFANZE TOBA YA KWELI KWA MUUMBA WANGU TUTAONANA MUNGU AKIPENDA BADA YA MFUNGO,ANGALAU HII MITIMA IPINGUZE...
Naandika huu uzi kwa hisia Ni mkasa uliomtokea huyu Dada wiki Jana.
Ilikua ni siku ya jumatano akamwomba Boss wake ruhusa ya siku mbili yaani Alhamisi na Ijumaa. Lengo ni kwenda jiji la mwendo...
Haya ni maajabu ya mchepuko wangu kiukweli ni mzuri na ana diploma fulani hivi lia bado hana kazi na tulikutana mwezi wa tatu mkoani na nikamweleza fika kuwa nina MKE NA WATOTO WATATU .
Sasa...
Haiwezekani hata kidogo mtu anakuja ninapoishi na mwanamke mpya na kuanza kuagiza apewe vyakula na vinywaji kisa palikua kwake zamani, wakati walishagawana mali na bibi yangu akasepa, sasa leo...
Habarini za mfungo, poleni na swaumu kwa wale waliofunga.
Hili neno 'role model' limeharibu vijana wengi sana hadi kufikia sasa, vijana wengi wamejiingiza kwenye madawa ya kulevya, ujambazi...
Naamini baada ya ya siku ndefu kutafuta riziki, na baada ya siku ndefu kuongea na watu tofauti, kukasirishwa na watu tofauti na wakati mwengine inafika mda mwili wako unakuwa umechoka unachohitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.