Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,249
Jamani leo ngoja niwaulize, kuna hii kitu ya kwamba nyie mnapenda sana pesa na kwamba hata mnapoolewa mnaangalia sana mambo ya pesa kwa anayewaoa.
Hii kitu ni ya ukweli jamani maana sisi wanaume tumekuwa tukiamini kwamba nyie macho yenu yapo kwenye pesa.
Lakini cha ajabu tumekuwa tukiwasemea lakini hatujui mioyoni mwenu mkoje hebu mnihakikishie nyie wenyewe kama ni kweli au sio kweli na kwamba jamii inawaangalia kwa jicho hasi au ndio ukweli wenyewe ndio huo.
Nataka maoni yenu wanawake halafu mimi nitahitimisha