Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Wakuu wazima?
Mke wangu amekuwa mtu wa kuongea maneno yasiyoisha.
Wakati mwingine mnaweza mkapishana na mkaombana msamaha yakaisha lakini anakuja anakumbushia tena.
Mara nyingi ninakuwa nipo kazini kwahiyo huwa sipo nyumbani, sasa je kama ningekuwa nyumbani sijui ingekuwaje? Maana nikirudi tu usiku anaanza..
Mpaka nimeamua kuandika hapa yamenishinda, jana usiku sijalala na sio jana tu karibia mara kwa mara silali yani anaongea maneno yasiyoishaa.
Naombeni mnishauri wakuu, nifanyaje mke wangu asiwe na gubu? Maana hapa nilipo kichwa kinauma maana sijalala.