manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,731
Maisha ni mapambano ambayo mwisho wake ni kifo tu..Na kumekuwa na changamoto kadha wa kadha ambazo hutu-keep busy sana tuwapo hai na ghafla hujikuta kwenye nyumba yetu ya milele tumepumzishwa ili hali hata changamoto hizo hatujazimaliza na kila mtu huwa anasema ningepewa kama week 1 tu ningefikia malengo yangu..
Changamoto zenyewe ni kama zifuatazo na wewe ongezea zako hapa:
1.Kuna wanaosumbuka sana kutafuta amani ndani ya ndoa zao.
2.Kuna wanaosumbuka sana kutafuta mtoto baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka kadhaa.
3.Kuna wanaosumbuka sanakupata wachumba wa ndoto zao.
4.Kuna wanaosumbuka sana kufanikiwa kimaisha kuwa na nyumba nzuri, gari nzuri nk.
5.Kuna wanaosumbuka sana kumpata binti fulani hapo mtaani kwao.
6.Kuna wanaosumbuka sana kupata Certificate, Degree , Masters na kadhalika..
7......
8.......
Endeleza list...