Natafuta mchumba Mwanamke aliye seriously

mahmouddy

Senior Member
Jan 29, 2015
128
30
Kwa aliye tayari na seriously naomba asome vigezo hv

Awe Muislam
Awe mcha Mungu
Awe na umri 18-22
Awe na elimu kuanzia kidato cha 6 na kuendelea.
Awe muelewa na mshauri mzuri
Asiwe na stress zake za maisha
Awe tayari kupima HIV


Kwa aliye tayari PM ruksa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom