GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,216
Nimekuwa nikijiuliza hili jambo mara kwa mara na kila nikitaka kuliwasilisha kwenu kwa kuwauliza nilikuwa nasahau ila namshukuru sana Mwenyezi Mungu kuwa leo nimeweza kulikumbuka hivyo basi kabla sijalisahau tena naliwasilisha kwenu.
Ni kwanini sisi Wanaume hata tukiwa Hostel au Bafuni tunaoga huwa hatufichani viungo vyetu " KOROFI " vya mwilini ( Wakubwa Wanaume na Wanawake mmeshanielewa ) na kuna muda utakuta sisi Wanaume tukiwa Hostels au Chumbani mnaweza mkawa " mnaranda randa " mkiwa na SUTI tu ya Mwenyezi Mungu na " mnara " muda wote unatikisika na wala hamshangaani zaidi tu labda ya kusifiana kuwa fulani ana " mkuyenge " wa maana na mkubwa na mnapotezea lakini kwa Wanawake hali huwa ni tofauti sana ambapo hata wakiwa Hostel au Chumbani huwa wanafichana mno maungo " KOROFI " yao na mara nyingi utakuta hata wakiwa tu wanavaa nguo hujifunika kwa Khanga ili mwenzake asimuone.
Sasa nauliza nini hupelekea tofauti hii kati ya sisi WANAUME na WANAWAKE?
Nitashukuru kwa majibu yenu yaliyo " KUNTU " kabisa na naomba kuwasilisha.