Ukikuta mpenzi/mke wako siyo bikra ujue uyo ni mpenzi wa mtu

El nino jr

Member
Aug 7, 2014
66
24
Kiukweli wale walio oa wanawake ambao siyo mabikira maria mnahitaji pongezi sana,mimi binafsi nilishwindwa mpaka pale nilipopata mke bikra nikaoa,wale mliotolewa bikira zenu mtanisamehe bure maana sasa kila mtu anataka kuwa wa kwanza kwa mkewe.
 
Hata uliyemtoa wewe bikra aweza kuwa hawara wa mtu usidanganye, watu wenye matumaini makubwa kwa wake/wapenzi Wao wanapogundua kusalitiwa huwa na maamuzi mabaya Sana. Kama alizaa na huuwa watoto aliozaa na mke, kuuwa mke, na hata kujinyonga yeye mwenyewe, au kufanya uamuzi usio sahihi, ambao hata akiendelea kuishi Duniani hatafurahia maisha tena. Unapoishi na mwenza weka moyoni kuwa Kuna siku anawza fanya kosa kubwa kwako, wenda llitakalopelekea kuharibu uhusiano wenu, andaa uamuzi mapema mfano: Kumsamehe au kuachana nae kwa amani maisha yaendelee.
 
Mh,basi wanaume wite ni wachepukaji,malaya na wapenzi wawatu,tena ni maibilisi wakubwa,hiyo imekaaje mtoa mada?unajiskiaje maana bikira huna
 
Mh,basi wanaume wite ni wachepukaji,malaya na wapenzi wawatu,tena ni maibilisi wakubwa,hiyo imekaaje mtoa mada?unajiskiaje maana bikira huna
Kwa karne hii, huyu bikra atakua msichana mdogo Sana ambae hata hatumwagi sokoni, sasa Mimi na umri wangu nikitaka kuoa nitafute bikra, nitaongea nini huu ya maisha yetu. Maana ndoa sio kitandani tu Kuna Mengi ya kushirikiana. Unaoa kitoto kisichokua na maamuzi, nadhani kwenye mada anadhani watu wate wanahitaji kuoa ni sasa na umri wake tu, hajui Kuna watu wametumia shilingi Mia ya noti ya mmasai.
 
Back
Top Bottom