Wapendwa nina dada yangu ambaye amezaa mtoto mmoja na mzazi mwenzake awali walikubaliana na huyu mzazi mwenzake wazae lakini mara baada ya kushika mimba jamaa alibadilika akagoma kutoa matumizi ingawa alikuwa hamuoneshei wazi bali alikuwa ni mtu wa kutoa ahadi ambazo zinasubilia mwisho wa mwezi ili dada akipokea bas jamaa anakaa kimya kama hayupo vile. Ikafikia hatua sister akachoka kumuomba pesa akaamua kukaa kimya
Kumbe jammaa alikuwa na mdada mwingine sister aligundua mara baada ya kujifungua kwani jamaa alibadilika zaidi akagoma kuja kumuona mtoto wala kutoa matumizi ingawa mtoto anafanana na baba kwa kila kitu . Inavyoonyesha jamaa amemuita jina mtoto kama kwa kulazimisha ingawa sister hajatuweka wazi masuala mengine.
Sasa kwa kuwa baba mtoto amemkataa mtoto indirect nyumbani wanataka kubadili.jina la baba la mtoto lirudi ujombani kwani wao ndo wa mekuwa wakitoa matumizi ya mtoto,pia mxazi mwenzie anaonyesha kiburi kwani anajua siku moja mtoto akikua atamtafuta tu baba yake. Pamoja na kwamba atamtafuta kimila ni kuwa kama mtoto akilelewa ujombani basi jina linarudi upande wa mama.
Je hili kisheria limekaaje mnaofahamu tusaidiane kwa hili. Na je kutakuwa na athari zozote hapo baadaye MAWAZO NA HEKIMA ZENU YANAHITAJIKA.