Kwanini wakandarasi wanapendwa sana na wanawake

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Sekta ya ukandarasi hapa nazungumzia wajenzi wa miundombinu; madaraja, barabara, Majengo, nk

Wafanyakazi wa hii sekta wamekua waharibifu sana wa wanawake ukifuatilia sehemu walipopiga kambi kunakuwa na maambukizi sana ya magonjwa ya zinaa na ukimwi hii huchangiwa na wanawake kuwapapatikia sana wakandarasi angalia walikopita kampun za ukandarasi utaona Kuna sehem Kuna watoto wa kachina sana ni nn kinafanya wakandarasi wanapendwa sana na madem?
 
Maeneo mengi yanakuwa rural na maisha yanakuwa yamewapiga, hivyo vipesa kidogo walivyo navyo hao wakandarasi ndo vinapendwa hapo.
 
"genye" tu za hao wanawake, mbona hata vyuo vikuu huwa wanafunzi wanaacha sana watoto vijiji jirani na chuo!
 
mkuu viela vidogo unamaanisha
Wengi wanaofanya zile kazi sio wakandarasi bali ni wafanyakazi au vibarua, kwa hiyo hawana pesa nyingi bali kidogo tu kutokana na mishahara ambayo ni midogo, posho, pesa kuuza vifaa vya wizi - cement, bati, nondo, mafuta ya magari/mitambo n.k.
 
Back
Top Bottom