Kuna ubaya kuandaa mke akiwa bado binti mdogo?

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,663
Habari wana jamvi?

Nimekuja kwenu kuomba kibali cha uhalali kama ni haki kumuandaa binti angali mdogo kabisa ili uje kumuoa baadae. Nasema hivo maana hawa age-mate wenzangu kambi ya upinzani wamenishinda. Wengi wao wajuaji kupita kiasi halafu heshima hawana hata kidogo.

Sasa ilitokea kama mwezi hivi na nusu katika vipindi tofauti kwa mazingira na nyakati tofauti nikakutana na hivi vibinti viwili ambavyo vilimaliza kidato cha nne mwaka jana. Mmoja alifeli na ndo yuko kwenye process za kwenda chuo na mmoja amefaulu na ndo yuko kwenye harakati za kwenda form V.

ki ukweli vimeumbika na kwa sababu bado vibichi nimevipigia mahesabu kwa sababu na mimi nna mipango ya kuoa nikifika 30 i mean kama 6 or 5 years to come so nikaona hapa na wenyewe baada ya miaka 5 au 4 kuna mmoja wapo atakuwa tayari kuwa na mimi kwa sababu mpaka sasa wote wapo kwenye darubini ya kali ya kiintelligensia kufuatilia maendeleo yao maana kwa kweli naomba nikiri kwamba bado wana akili za kitoto sana.

Naomba nanyie wana JF kama kuna mtu alishawahi kufanya hivi. Najua kwenye tawala za kifalme zamani haya mambo yalikuwepo unakuta mtoto binti mdogo anaondoka hata hajavunja ungo halafu anakuwa anaishi na mtarajiwa wake angali wadogo. Then akijavunja ungo ndo anaolewa.

So na mimi nimekopa hiyo idea na nimeona somehow inaweza kunisaidia nije kupata kitu kibichi though hata kama sio 100% lakini at least inakuwa kwenye proportion nzuri. Na sio hawa age-mate wetu kwanza huko chini kushapita nyembe mpaka kumekomaa..

Naomba nisihesabike kama nawatusi wanawake single ladies na pia naomba nisieleweke kana kwamba mimi ni kama "Simba mzee kupenda kula maini" bali ni jinsi nilivoona ya mimi kupata jiko safi.

Asanteni!

I am 'liberal' Matusi na lugha yoyote isiyofaa hapa yanaruhusiwa.
 
Hivyo vibinti navijua tulikuna kule Badoo tukapeana contact. Na nilishavichapa vyote huwa vinatembea vitatu uongo?
Ukibisha nakuwekea picha.
Inawezekana ni kweli vipo badoo ila mimi sijui kama vipo. anyway kwa sababu nipo kwenye intelligensia unaweza kuni pm picha za hao uliokutana nao ili nithibitishe kama ni wenyewe
 
Ila ndugu havifahamiani ni entity tofauti kabisa.
Vimekuingiza cha kike...
downloadfile-6.jpeg
Si ndio hivi hapa?
Vyote nimeshavichapa basi.. :p:p:p
 
WE TENGENEZA SIE TULE WAKATI UNATENGENEZA.....KWANZA MI NIMEANZA KUGEGEDA HAO UNAOWASEMA...NIMEHAMIA KWA VILIVOMMALIZA FORM 4 VINAINGIA CHUO......SIE TUNA CHUMVI TUNAKULA MAPEMA
 
Hahah Jesca yuko ndani hapo, kushnei hakuna kitu katika hao wote, wanyonya dushee hao hahah
 
khaa,kama washafika age of majority unawaza nini? kumbe hata hujawapita miaka mingi umesema 5 or 6 years ndo unatimiza 30,me mwenyewe nina umri kama wako lakini size hyo me nisingeomba go ahead kwa jamii,maana sivunji sheria pili hayo mambo ya kitoto ntayamaliza mwenyewe taratibu.sasa we sema eti unaandaa,siku unasema wamekuwa watakuwa washakupita na umri ohoo,utakuta watu washawala kitaambo."mwanamke ni kama emebe ukisema hajaiva wenzako wanakula na chumvi"( Mugabe,2014)
 
Inawezekana ni kweli vipo badoo ila mimi sijui kama vipo. anyway kwa sababu nipo kwenye intelligensia unaweza kuni pm picha za hao uliokutana nao ili nithibitishe kama ni wenyewe

Baada ya 5/6 years binti unaowaweka kwenye darubini sasa hivi nao watakua wamejanjaruka, hivyo tabia zao zitakua km agemate wako wa sasa na wakati huo agemate wako watakua wametulia kwenye ndoa zao.
 
Back
Top Bottom