Addicted to "Bar Maids"

Mkuu what are u trying to say..'Bar maids are all over or Addicted to Bar maids are all over?? msaada pls.
 
Bar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..

Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..

I'm just wondering if this is "Addiction" or what?
 
mhhhhhh!!!!!!
 
haya bana.....!

halafu siku hizi unakunywa bar gani?maanake hatuonani kuanzia kwa m-masi,all the way hadi kibila haupatikani
 
Kama na ya Josephine unayo, futa.

Nimeshamwachisha kazi pale.

Na hiyo avatar yako hiyo............Hongera!
 
Bar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..

Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..

I'm just wondering if this is "Addiction" or what?

Hivi kwa nini bar mpya inajaza sana kuliko ya zamani?

Je ni kweli watu wanapitia kuangalia usajili mpya?

Au maswala ya jiko nako kupima supu inachakachuliwa au lah?
 
lol...asikwambie mtu Fidel, hawa viumbe wana taste yao ya kipekee mkuu,
si unajua ule mtindo wa kutangulia kupiga charter mapema,
then, unabakia kusikilizia mrejesho nyuma kutoka kwa masela ambao watafuatia...............
 
If you have an addiction keep it going or go to rehab (to your wife that is).

Dear Lizzy,

I'm trying to be HONEST - and - that is it!

Ukiniulizia majina ya "Bar Maids" naweza kukutajia tangia wale Mbagala Kizuiani - Mpaka Bagamoyo!

I just want to know why?
 
Bar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..

Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..

I'm just wondering if this is "Addiction" or what?

mmmmmmmmhhhhhh! tatizo lenu huwa mkienda bar hamfuati kinywaji tu kama wengi tunavyofikiria ndio maana mnachukua na namba za simu za hao wanaowahudumia, 'tena only maids for this matter na si kila mhudumu' kwa hiyo naamini huwa mna zaidi ya vinywaji ingekuwa kati ya hizo 40 nos za wahudumu ulizonazo angalau kuna maids 30 na wahudumu wa kiume 10 ningejua lengo ni kupata na za wanaokuhudumia nje ya nyumbani kwako lakini kwa kuwa ni wanawake tu basi wewe una zaidi ya moja! na hizo 40 nos ulizonazo wewe ujue ziko kwenye karibu kila no. ya mwanamume wa tabia yako, hamuoni kama mnahatarisha maisha yenu??? think twice nauache hiyo 'maids addiction' tena tafuta rehab ili urekebishe hiyo hali.
 
haya bana.....!

halafu siku hizi unakunywa bar gani?maanake hatuonani kuanzia kwa m-masi,all the way hadi kibila haupatikani

Siku hizi "Play Time" au "Calabash" - nimeamua kurudi viwanja vya nyumbani na kufahamiana na "Bar Maids" wapya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom