Nani keshawahi kuambiwa hivyo na mtu ambaye anataka kutoka naye?
Nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasmi na kugundua kwamba, hususan kwa wadada, kama kuna mkaka kawatokea na kama wao hawamfeel...
Hizi siku tatu hasa kuanzia siku ya Ijumaa nilikuwa mapumzikoni kidogo, baada ya kuchoshwa na kazi ngumu ya kujenga hili Taifa la Tanzania. Sasa nimekuwa nafanya mambo ya kupumzisha akili ikiwemo...
Haya kama kawaida, wale tusiokuwa na viburudisho tushinde hapa.
Kama wewe ni mwanaume una swali lolote kuhusu sisi wanawake uliza
mashost zangu wamewasili tena kutoa majibu.
Ila angalizo...
"Nataka Ramadhan ijayo wewe ndo uwe wa kunipikia futari. tena zuuuri, unaonekana unajua sana"
nikatamani nimuulize jina lake la JF nimtag thread yangu ya I''m too lazy to be a housewife.
hivi...
Mhhhm kama bado mna still struggling to find a husband at an old age...because you're looking for a perfect man, Mhhm I think something is certainly wrong with you...Hivi bado hamjasikia ule msemo...
Mimi sina ma EX katika maisha yangu lakini kuna mwanamke niliwahi kumpenda na sijawahi kumuambia nampenda, sasa nime move katika another section na na yeye ndo kawa kama team leader wetu, sa mara...
Ninaishi Shinyanga mjini. Naangalia na kutafuta fursa ya kumpata rafiki wa kike katika viunga vya mjini hapa. Urafiki huu utalenga kufikia ushirikiano wa kirafiki kulingana na mahitaji ya pande...
Asalam Alaykum,
All praise is to Allah, the most beneficent, the most compassionate, the Sustainer and Cherisher of the Worlds, the Supreme.May His blessings be on Prophet Muhammad (SAW), his...
Habari wanajamvi,baada ya kutemana na kale kabinti kanakonuka mdomo,na kutemana na mama watoto wangu kwa sababu watu walimfumua sehemu zisizohusika(0713..).nikaona nitafute mtoto mwingine,nikapata...
Hii ni miguu ya yule mama ambaye amekuzaa na kukulea handsome wewe unayeng'aa na kuzungusha round ya laki na ishirini huku mkononi unazungusha kiufunguo chako cha alteza uliyokopa baada ya...
Habari ya leo!
Niko Dar, nafanya kazi, niko single, sina familia, najitegemea, nina miaka 34.
Natafuta mchumba mwenye kujiheshimu, anayejua anataka nini maishani mwake, aliye kwenye umri kati ya...
Habari zenu wakuu.
Naomba ni share na ninyi niliyojionea nilivyoenda likizo yangu ya mwaka.
Kwanza kabisa likizo yangu ilikuwa na madhumuni makuu mawili
1.kuonana na mchumba Wangu ninayetarajia...
Shost alikuwa na mapenzi kwa boy friend wake, alikuwa anakwenda for a week, wakati huo ni mwanafunzi. Majibu yalipotoka amepiga chini, basi aliamua kuhamia kwa jamaa mazima. Walianza kuishi kama...
Mwanzoni nilidhani ni utani, ila mpaka nilipokuja kuiona picha ukiwa ndani ya shela na tabasamu kubwa lisilo hata na tone la huzuni moyo wangu uliumia sana. Nikaanza kutafakari toka mbali kwa...
Habari wakuu,
Nahitaji msaada wakuu kuna sister nilkuwa nimezoeana nae kama dada yangu ila kwa sasa moyo wangu umempenda yeye na ninahitaji kuanzisha mahusiano nae ili tuweze fika katika malengo...
Ndugu wanajamvi,
Mimi ni kijana ninatatizo lakutokujiamini hasa ninapokuwa natao speech kwenye kikundi cha watu kuanzia 60 na kuendelea.Lakini kikiwa ni kikundi cha watu kama kumi huwa mimi...
Huwa wanaume wana tabia za kutoa siri za wanayowafanyia wasichana wao faragha wakitoka kudo.
Hii siyo siri mimi inaniuzi sana umetoka kudo unapiga stori masela zako jinsi mlivyofanya hadi kaa...
Ndugu wana jukwaa, ninaishi na mwanamke wa miaka 23 tuna mtoto mmoja.
Kwa sasa nipo masomoni ktk moja ya vyuo vikuu hapa nchini ambapo Natarajia kumaliza mwakani.
Mwenzangu anaishi mkoa...
Habari wanajamvi?? Mi mwenzenu nadhani wote mnajua kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti,SEAN,TRAVIS,MOUREEN.sasa huyu mama MAUREEN huwa tunarumbana mara kwa mara(ana mdomo sana).sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.