Mtongozo wa Kiswahili/Kiislamu

Mtongozo wa Kiswahili/Kiislamu

housegirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
3,125
Reaction score
2,194
"Nataka Ramadhan ijayo wewe ndo uwe wa kunipikia futari. tena zuuuri, unaonekana unajua sana"

nikatamani nimuulize jina lake la JF nimtag thread yangu ya I''m too lazy to be a housewife.

hivi kweli nimeshinda siku nzima na njaa halafu jioni me ndo nipike?? waafrika buana 😀

lakini for a Muslim girl, au msichana yeyote anayeamini hizi traditional roles, hayo ni maneno mazuri sana.

za kiswahili "nataka uwe mama wa nyumba yangu"

"anayekula kazi ya mikono yako ana bahati sana"

"nataka uwe pambo la nyumba yangu"

yani ukifuatwa na Hawa ujue unaombwa cheap labor 😀

I think best words I ever heard were "I want you to be my best friend and life partner" aaahhh hapo roho kwatu najua Leo sipiki .
 
hawa ndo wale wanapenda kula chipsi tu kupika hawajui nani atakuoa dada kama kupika mvivu
 
wakati mwingine ni vyema kutoiruhusu akili kufikiria kupitiliza. REF: Werevu Mwingi Mbele Kiza.
 
Me nawafundisha maneno mazuri mkawaambie watoto wa watu huko lakini wanaojishtukia wataona wanasemwa
 
Shyeeeh...!!! Mbona maudhui ni yale yale ya extraction of pappi au unapagawa zaidi na lugha ya meli???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom