Looking for a friend(female friend) in Shinyanga!

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,746
4,721
Ninaishi Shinyanga mjini. Naangalia na kutafuta fursa ya kumpata rafiki wa kike katika viunga vya mjini hapa. Urafiki huu utalenga kufikia ushirikiano wa kirafiki kulingana na mahitaji ya pande zote mbili. Tuwasiline zaid kupitia ujumbe wa binafsi (PM).natanguliza shukrani.
 
  • Thanks
Reactions: waj
Back
Top Bottom