juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Habari wanajamvi,baada ya kutemana na kale kabinti kanakonuka mdomo,na kutemana na mama watoto wangu kwa sababu watu walimfumua sehemu zisizohusika(0713..).nikaona nitafute mtoto mwingine,nikapata mtoto mmoja hivi anafanya kazi kwenye kampuni ya mitandao ya simu,nakumbuka nilienda kurenew line yangu mara nikavutiwa na mrembo tukapeana namba za simu.wakati namtongoza hakuonesha shida ila baada tu ya kuwa kwenye mahusiano bwana,matatizo lukuki yakaanza.yani ikafikia hatua ananiambia niwe nampa 10 kila siku.sasa najiuliza ina maana mshahara hautoshi au wakina dada wa miaka hii mna mapepo tu mnapenda pesa kuliko mtu? mana huyu demu mzinga wa kwanza alitaka nimnunulie friji,sijakaa sawa akataka simu ya iPhone 6,sijakaa sawa akataka nimuongezee kodi ya chumba laki4.hivyo vyote sikuhudumia chochote hata kimoja ila hajishtukii tu bado anaomba,na mzigo nimekula mara moja na penyewe kwa mbinde na mapenzi yenyewe hajui wala nini,sema tu ni mzuri wa sura na umbo na rangi so ukiwa nae unauza nyago,ila kitandani ni bure kabisa.hadi sasa nimetumia laki 8 na 34 kwa pesa ndogo ndogo nnazompa.,kanichosha kutaka 10 ya kula kila siku yaani hapo si ni kama nimeoa tu? Nimeshindwa kwa kweli,ila hawa wadada wa siku hizi sijui wana matatizo gani jaman,mbona zamani hamkuwa hivo kwani siku hizi mmepatwa na pepo gani? Na ukimuacha huwa hawajuti wala nini hata kama ulkuwa unasimamia kucha au kuhudumia sana,kazi tunayo wanaume siku hizi