Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kulikuwa na wapenzi wawili waliokuwa wakisafiri kwa basi lililokuwa linapita katika barabara ya milimani. Walipofika katika maeneo fulani katikati ya milima wakashuka na kuacha basi lile liendelee...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Siyo siri huwa nakosa pozi pale napomsimamisha msichana ili nirushe mawe lakini kabla sijaongea chochote anasema shikamoo kaka/baba. Mara nyingi kuua soo huwa namwambia mimi ni mwalimu kwa hiyo...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA. Naomba MWANAUME...
8 Reactions
174 Replies
22K Views
Kwa kuoa huchukui tu mke, Bali unachukua ulimwengu wako mzima. Kuanzia hapo mpaka maisha yako yote mke wako atakuwa mwenzio, mwandani wako, na rafiki yako mpenzi. Atashiriki katika nyakati zako...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za muda huu wanajamvi, Juzi kipindi natoka kazini nikakutana na mdada fulani mkali ana BIG BOOTY nikamwambia kuwa nimetokea kukupenda NAKUHITAJI , Nikatoa elfu 30,000 kwenye wallet...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wanajamii niko na tatizo moja... Huwa nikiwaona akina dada waislamu wamevalia baibui nawependa sana ingawa ninaogopa kuwaongelesha kuhusu mapenzi sababu mie ni mkristo... Nisaidieni jameni
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hi wadau, Nimezoea kusikia wadada huwa wanatabia ya kuzimia kwenye show akimpata mwanaume wa ukweli na kama ana kiu ya muda mrefu. Juzi kati yalimkuta rafiki hayo ya kuzimia akipiga show mechi...
2 Reactions
51 Replies
9K Views
ukishaolewa na kuw na familia yako ebu jaribuni kuwa na marafiki wa kwenye ndoa tu hawa mabachelor watawapotosha nakujikuta unavunja ndoa yako bila kutarajia!!!!!!!! Sijaolewa ila huwa nashangaa...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
1-Mume mwenye mke hudanganya kua hana mke. 2-Mume hudanganya anavitu asivyo navyo. 3-Wasichana wenye watoto hudanganya hawana watoto. 4- Wanawake wengi na hata waume hupenda kupunguza umri wao...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Siyo nia yangu ukasirike au usisimke kwa taharuki nyingi kutokana na kisa hiki cha kweli, ila natamani sana tujifunze na tuweze kutambua tabia za baadhi ya wanaume.Ni familia moja iliyokuwa pamoja...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Natijokeza kwa mara ya kwanza wana JF mimi ni Mwanaume mwenye Umri wa miaka 27 ni Muhasibu natafuta mchumba ambaye atakua mke wangu vigezo awe mwalimu au Nurse Umri ni Kuanzia miaka 19-24 Rangi...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari yenu wana JF, Nina mchumba wangu ninampenda sana, kabla/wakati tulipoanza mahusiano, alikuwa 'anti-social' hata kwa wanawake wenzake lakini kadri siku ziliposogea baada ya kuanza mahusiano...
2 Reactions
61 Replies
10K Views
My PM does not work Use 0625509102
0 Reactions
2 Replies
821 Views
  • Closed
Hizi ni tetesi,uvumi, uzushi au vyovyote mtu atakavyoliita hili jambo, mi sina uhakika nalo lakini nimelisikia likiongelewa sana eti ni kweli kwamba hawa ndugu zetu waislam wanawake wanapokwenda...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Wengi wetu tumefungwa sana na jamii kiasi kwamba kuwa sisi siyo jambo rahisi kiasi hicho. Kinachokubaliwa na jamii ndiyo sahihi hata kama kinanuka kiasi gani. Hivyo ndivyo tunavyotakiwa kuwa kwa...
35 Reactions
136 Replies
14K Views
Sipendi uongo, simpend mtu muongo. Mtu bora aseme ukweli kuliko kunidanganya. Nikigundua kama umenidanganya siwezi kusamehe hata kama umedanganya mara 1.Siwezi kumsamehe muongo, nakasirika sana...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Ukiingia Facebook what's up nk mtandao mingi ya kijamii unakutana na kina dada wengi wamegeuzia makalio alafu anapost.Hivi huoni kuwa kuna kaka zake wazazi nk wanaokua wanaona alafu sametime nguo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasalaaam.... Nadhani mu wazima wa Afya na wale wagonjwa Allah/yehova awape shifaa, Ndugu zangu wapendwa nimekutana na binti mwenye asili ya kisomali ni mzuri na anajielewa nimependa kumfanya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii muvi ilianza kuna jamaa alikuwa anafkuzia mke wa mtu bila kuchoka. Mke akamwambia mume.wakashauriana waweke mtego matata wa kufumania ili mgoni abananishwe atoe pesa maana anazo! siku ikawadia...
8 Reactions
55 Replies
7K Views
Leo nimeingia zangu kazini kama kawaida,mara akaja dada mmoja ameolewa jicho kavu hata aibu hana akasema unajua J yaani mimi. wewe ni handsome na unamvuto wa kila mwanamke humu ndani na kila...
7 Reactions
114 Replies
11K Views
Back
Top Bottom