Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Am a man having 28 yrs, mwajiriwa goernment, mrefu, mweusi, mpole, mcha Mungu, dume halisi, mwenye uelewa na mahusiano. Binti wa vigezo hivi naoa fast 1) mcha Mungu (christianity) 2)mwenye true...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Habarini! Naomba kujuzwa kuna katabia kakuwavalisha watoto wachanga pindi wanapokuwa wamezaliwa hasa hasa nyeusi, huwa sielewi nimeona kwa wengi sana bila kupata jibu la uhakika.Ila kuna mmoja...
3 Reactions
76 Replies
12K Views
Habari zenu, Nakaribia miaka 35.Nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka nane(8) sasa.Nina watoto wawili. Tatizo langu ni kuwa maisha ya ndoa yamekuwa very boring. Hisia zangu kwa huyu mwanamke...
3 Reactions
157 Replies
19K Views
Ukweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende
6 Reactions
82 Replies
13K Views
Baada ya kupata elimu ya kutosha namna ya kupata mtoto wa kiume na nikapractice na kufanya kweli. Sina maana kwamba watoto wa kike hatuwahitaji la hasha, lengo la thread hii ni kuwapa inteligency...
5 Reactions
116 Replies
22K Views
  • Closed
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Wanawake wa kichagga na kihaya wanatumalizia ndugu zetu. Yaani hawa wanawake ni so strategic, wananyatia wanaume (hata simba na ufundi wake wa kuwinda hawafikii)...
19 Reactions
589 Replies
74K Views
Mmmh! Najua wazee wakuchepuka wamevutiwa na heading sana. Iko hivi kama una mke au mume na humuamini unahisi kabisa ana mtu nje fanya njia hii kupata uhakika ila angalizo kama huna moyo mpana...
8 Reactions
98 Replies
14K Views
Habari zenu wanajamii forum.Kama mnavyujua miaka ya karibuni wanawake wamekuwa kimaslahi zaidi yaani macho yapo kwenye pesa lakini mimi binafsi najiuliza hizo pesa wanapeleka wapi maana sioni...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Hivi ni hulka, ushamba, umasikini, ulimbukeni au tamaa ya fedha kwa dada zetu vyuoni kujihusisha kimapenzi na watu wazima kama wazazi wao? I ask so because have experienced, my x tried to lie...
4 Reactions
117 Replies
16K Views
Kama uko kwenye mahusiano ambayo yana kimoja kati ya haya, haraka sana jitoe, okoa muda wako na upendo wako unaopoteza: 1.Kama uko kwenye mahusiano na mwenzio anataka umvulie nguo ndio atajua...
12 Reactions
44 Replies
6K Views
Wana jamvi salaam Najua huku kuna wataalam wa saikolojia. Hivi ntajuaje kama mpz wangu ametoka kuchapana kugegedana nikimuangalia tu kwa macho. Je kuna ishara fulani huwa inajionyesha kuwa...
3 Reactions
143 Replies
26K Views
Wapendwa Sio mara nyingi nimekuwa nikipost hapa...nimekuwa msomaji mzuri tu wa mabandiko mbalimbali na nimejifunza mengi kupitia post na michango yenu. Kiukweli niko njia panda ndugu zangu,Niko...
8 Reactions
184 Replies
18K Views
Maskini amekuwa mtumwa kwenye ardh/kiwanja alichonunua,nyumba aliyojenga lakini hajafaidi matunda ya furaha ya ulimwengu huu lakini tayari ameshawekwa kwenye himaya ya mwanamke Sijafurahishwa na...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Nawasalimu wote Nilimuoa mke wangu wakati akiwa na mtoto mkubwa wa darasa la saba, Mimi nimezaa nae watoto wawili, tulifunga ndoa bomani kutokana na utofauti wa dini Tatizo linaloninyima...
16 Reactions
279 Replies
44K Views
Habari zenu bandugu. Msaada wa ushauri mwenzenu. Leo nimekutana na x ambaye ni muda wa miez 6 sasa ushapita toka tuachane sababu alitia mwanake mwingine mimba, iliniuma sana sababu nilimuamini...
0 Reactions
118 Replies
16K Views
Salaam wana-JF wenzangu, Kama ilivyo ada wahenga walisema Mungu hakupi vyote na pia hakunyimi vyote. Unaweza ukakuta mwanaume anavutia sana (handsome) na anagombaniwa na mabinti wengi ila hana...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Nakumbuka niliweka appointment kukutana na baby wangu hotel moja hivi, mfukono nilikuwa na elfu hamsini nilipanga kula naye lunch tu nikiamini itatutosha.Ghafla mpenzi wangu akaja na wenzake...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau poleni na swaumu, Jamani naombeni kujua mke mzuri ni yupi?mwenye kazi au asie na kazi?achana na tabia tuangalie upande huo,je kuna faida au hasara ya kuwa na mtu ambaye ana kazi au hana...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Natumaini wote mpo poa kabisa. Naombeni experience hasa wale wanaozaa. Mabibi watu wazima wanapomuona mwanamke anayekata mauono sana akiwa anacheza muziki, huwa anamhurumia...
1 Reactions
62 Replies
19K Views
Back
Top Bottom