Ndugu wana jukwaa, ninaishi na mwanamke wa miaka 23 tuna mtoto mmoja.
Kwa sasa nipo masomoni ktk moja ya vyuo vikuu hapa nchini ambapo Natarajia kumaliza mwakani.
Mwenzangu anaishi mkoa tofauti na mimi,na makubaliano yetu ni tufunge ndoa pindi nitakapomaliza masomo.
Wandugu ktk uchunguzi nilioufanya nimegundua ananisaliti na bwana mmoja mfanyakazi mwenzie na nimembana amekiri hadi akalia kuwa hatorudia.
Wadau mnanishauri nifanyeje? Mbaya zaidi kuna kipindi kama miezi mitatu iliyopita nilihisi hizo dalili nikamwambia aache mazoea na huyo ndugu ila hakunisikia.
Je nimpe adhabu gani abadilike? Je nikija muoa na kuishi pamoja anaweza tulia?