Muslim singles matching thread: Wachumba wa kiislam hapa

Status
Not open for further replies.

mamiake

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
270
332
Asalam Alaykum,

All praise is to Allah, the most beneficent, the most compassionate, the Sustainer and Cherisher of the Worlds, the Supreme.May His blessings be on Prophet Muhammad (SAW), his household, his companions and generations of Muslims till the Day of Judgement. (Ameen) kutokana na changamoto za maisha imekuwa ni shida watu kupatana wenye imani moja,

Naomba hii post waislamu wote wanaoitaji wenza waje hapa wajaze hii form kupata wenza wao.

1. JINA KAMILI:

2. JINSIA:

3. UNAEMTAUTA(ME/KE?):

4. TAREHE YA KUZALIWA:

5. Blood Group:

6. KABILA:

7. NCHI UNAYOISHI SASA:

8. MARITAL STATUS:
a) Never Married b)Separated c)Widowed d)Divorced

9. Employment Status
a) Employed b)Self-employed c)Unemployed d)Student e)Trader f)Artisan

10. Height:

11. Weight:

12. UNA ULEMAVU WOWOTE? KAMA NDIO ELEZEA ULEMAVU GANI.

13. KIWANGO CHA JUU CHA ELIMU:

14. MIAKA MINGAPI UMEKUWA MUISLAMU?:

15. UNA WATOTO? KAMA NDIO WANGAPI?

16. KWA WANAUME UTAPENDA MKEO AFANYE KAZI AU UTAPENDA AWE TU MAMA WA NYUMBANI?

17. (KWA WANAWAKE ) UNAFUNIKA KICHWA?

18. JIELEZEE KWA MANENO 100 KWA UFUPI

19: ELEZA UMTAKAE KWA MANENO 100 KWA UFUPI

20: KAMA WEWE MWANAUME MKE UMTAKAE NI WANGAPI? KAMA WA PILI AU WA TATU AU WA NNE ELEZA SABABU.

21: KWA WANAWAKE, JE WEWE NI BIKRA? KAMA SIO ELEZA SABABU

UKISHAJAZA HIYO FOMU NITUMIE PM NITAKUUNGANISHA NA UMTAKAE.
 
mimi ni mkristo ila napenda nioe mabinti wa kiislam especially wale wanaotokea zanzibari...awe mweupe mnene .....nisaidie
 
....sasa sikiliza mimi mkristu na nitatafuta watoto hukuhuku,naamini nna sifa zaidi ya wengi humu,labda muweke vipengele vya upendeleo km kujua Quran!,
Kwanza suala la picha ni muhimu kuliko yote uliyoandika hapo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom