Hivi wasichana wakitoka ku'do nao huhadithiana kama wanaume?

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Huwa wanaume wana tabia za kutoa siri za wanayowafanyia wasichana wao faragha wakitoka kudo.

Hii siyo siri mimi inaniuzi sana umetoka kudo unapiga stori masela zako jinsi mlivyofanya hadi kaa papuchi ni bwaku au umekula jicho au umekuta msichana ni fundi.

Hivi nao dada zetu wakitoka kudo nao hupeana stori walizofanya? Hata kaa una kibamia? Au ni mzee wa kimoja?
 
huwa wanaume Wana tabia za kutoa siri za wawafanyiao madem zao faragha wakitoka kudo hii siyo siri mm inaniuzi sana umetoka kudo unapiga stori masela zako jinsi mlivyofanya adi kaa papuchi ni bwaku au umekula jicho... au umekuta dem ni fundi

hivi nao dada zetu wakitoka kudo nao hupeana stori walizofanya? hata kaa una kibamia? au ni mzee wa kimoja?
Ah hiyo wanafanya sana tu.
Wengine mpaka wanajirekodigi kwenye viaudio, wakimaliza wanarushiana na mashosti kwa blututhi......
 
huwa wanaume Wana tabia za kutoa siri za wawafanyiao madem zao faragha wakitoka kudo hii siyo siri mm inaniuzi sana umetoka kudo unapiga stori masela zako jinsi mlivyofanya adi kaa papuchi ni bwaku au umekula jicho... au umekuta dem ni fundi

hivi nao dada zetu wakitoka kudo nao hupeana stori walizofanya? hata kaa una kibamia? au ni mzee wa kimoja?
Wanahadithiana mkuu.. Sema sio wote..
 
huwa wanaume Wana tabia za kutoa siri za wawafanyiao madem zao faragha wakitoka kudo hii siyo siri mm inaniuzi sana umetoka kudo unapiga stori masela zako jinsi mlivyofanya adi kaa papuchi ni bwaku au umekula jicho... au umekuta dem ni fundi

hivi nao dada zetu wakitoka kudo nao hupeana stori walizofanya? hata kaa una kibamia? au ni mzee wa kimoja?
Mwanaume wa kidaslamu, katika ubora wako!
 
Kuna mshkaji yupo kwenye fb aliweka picha anasali huku papuchi ipo mbele yake. Anasema kabla hujala lazima usali. Hivi ulijuaje kama kuna watu wana vibamia na midushelele kama sio hao wadada wanao hadithia.
 
Back
Top Bottom