Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika dada 10 utakaokutana nao iwe kwenye matembezi, sehemu za starehe au nyumba za ibada au hata kwenye mabasi ya mwendo kasi, kati ya hao 10 basi 8 kati yao wamejazia haswa huko nyuma yaani...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Wasalaam, Hope ninyi wazima na kama kuna mgonjwa bas Bwana ampe afya njema. Kilichonifanya niandke hii thread ni kwa kusudi jema tu la kutaka tukumbushane mambo kadha wa kadha hususani katika...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
hivi kweli tekosa marafiki mitaani kwetu???
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Habari za Jumamosi ndugu wanajukwaa, Ninaomba kwenda kwenye swala langu kama ilivyotambulishwa na kichwa cha habari hapo juu. Kwanini watu wengi ni wagumu kuomba msamaha hata baada ya kuelezwa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Dr Mwaka, Nimeisoma article yako ambayo umehusisha usaliti wa ndoa[mahusiano] na umalaya. Nilitarajia kwa mtu kama wewe ungetueleza[elimisha] kwa nini hali hii hutokea. Jee wanaume kwa hulka yao...
3 Reactions
72 Replies
7K Views
Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona...
15 Reactions
209 Replies
23K Views
Watanzania wengi hawafahamu kuwa mawazo yao ndio yanao waendesha. namna unavyoiseti akili yako ndivyo hisia zako huwa. mfano wewe ukijiona dhaifu, mtu wa kukata tamaa basi ndivyo utakavyokua. yani...
2 Reactions
1 Replies
729 Views
Habari wana JF, Kiufupi ni kwamba nilikuwa na mpenzi Glady tuliyefanya mengi kipindi tunaanza hayo mahusiano ila baada ya miezi miwili nikakutana na dada mwingine Anna ambaye nilimuheshimu na...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Habarini wana MMU, Kumekua na wimbi la kutupiana lawama kati ya wanaume na wanawake kwa kila mmoja kumlalamikia mwenzie kwenye mahusiano ya kimapenzi mpaka ndoa pia mfano wanaume wanalaumu...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Katika pita pita zangu hii leo ni mara ya pili kusikia kitu kama hiki. Kwa mara ya kwanza nilisikia katika vijiwe vyetu.Lakini leo nimeshuhudia Mjomba akimwambia mpwa wake... " Eti mwanaume...
3 Reactions
96 Replies
12K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!! Wale wazee wazee wa nyanda za juu kusini, wazee wa ndumba, wazee wa kudumisha mila ama wazee wa kupulizia katika kusaka mahela wazua...
10 Reactions
95 Replies
25K Views
Natumaini muwazima .... Natafuta mwanamke nitayeanza nae mahusiano then nimuoe ,..Nina miaka 30, mwanamke asizid miaka 27 ...elimu ya kidato cha nne na kuendelea ....dini kabila rangi sibagui...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Pengine ule msemo kuwa pesa haiwezi kununua furaha una ukweli zaidi ya hata unavyofikiri. Hii ni kwasababu kuna tafiti nyingi zinazohitimisha kuwa utajiri na furaha si vitu vinavyoendana kama...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
tukiangalia kwa sasa kuna ongezeko kubwa la mashoga watu tumekuwa tukiangalia sababu nyingine zinazosababisha hii kitu lakini kuna kubwa ambalo linasababisha ushoga kuenea kila kukicha tena kwa...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Muda sahihi wa kupata mwenzi mpya, baada ya kuachana na wa zamani inafaa mtu atulie kwa muda gani kwanza? Umeleta mada nzuri ila umeshindwa kuijazia wigo sahihi ili wachangiaji wakupe jibu...
1 Reactions
81 Replies
8K Views
Watoto wangu wanahangaika, Mungu nipe uvumilivu, maisha yangu yapo mashakani Mungu nipe uvumilivu, walionizalisha wamenikimbia ee baba nipe uvumilivu Baba, baba yesu nipe uvumilivu, bwana, bwana...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mnamo mwaka jana May 24,2015 nilipandisha uzi uliokuwa unasomeka hivi!. Wakuu salama. Kipindi nipo form five,nilipata demu mmoja hivi tulie kuwa tunalingana nae hakika tulipendana sana. Baada ya...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wapendwa; Mfano Tukio kama hili likakutokea utafanyaje? Kuna jamaa mmoja jina lake “Z” ambaye anaishi mtaa wa tatu kutoka mtaa ambao dada yake “X” kaolewa huko anayeishi na mmewe “Y” ...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Jana nilisalitiwa na mke wangu mama neema. Tulikwenda kumfumania nikiwa nipo na wazazi wake na baadhi ya ndugu zangu. Tulipo fika huko kweli tulimkuta mke wangu yupo na yule jamaa wa TANESCO...
0 Reactions
93 Replies
11K Views
1. Mkwara stage Mwaka wa Kwanza wa ndoa ulivyo mtamu hapa bado wapya ni full kujishaua, kila mahali mko wote, unawahi kurudi home, kabla hujapika unauliza hubby ungependa kula nini leo. Profile...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom