malisak
JF-Expert Member
- Mar 16, 2006
- 694
- 773
Hii ni miguu ya yule mama ambaye amekuzaa na kukulea handsome wewe unayeng'aa na kuzungusha round ya laki na ishirini huku mkononi unazungusha kiufunguo chako cha alteza uliyokopa baada ya kumaliza miezi sita ya probation hapo ofisini kwako.Miguu ambayo ilihangaika kwa kuuza pombe, maandazi, na kutembea kilometer 20 kwenda shamba alime ili wewe upate ada iliyokusaidia primary, ukafanikiwa kuingia sekondary na hatimaye chuo kikuu.
Ni miguu hii hii ambayo bado ipo katika hali hii hii ikimaanisha ule ugumu wa maisha uliokuwepo katika kukuhudumia wewe bado upo wakati tayari una nafasi ya kuweza kumuhudumia mwanamke huyu aliyekuleta duniani unamsahau unahudumia mijanamke inayotaka kula bata kila siku! Kama umeweza kuzungusha round basi unaweza kuturn around maisha ya mwanamke huyu aliyekufikisha hapo ulipo.
If you still have your mom, if you still have your parents, time is now usisubiri mpaka ziwe nyingi ndio uweze kuwahudumia, let them be proud of you now, today, Because utapokujarealize umuhimu wao.It might be too late and when you look back at your success and accomplishment, there will be an empty space in your heart, no meaning! Loneliness and lifetime grief! This is to all our precious mothers and the hustle they went through to make us what we are today!