Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,497
- 119,416
Nani keshawahi kuambiwa hivyo na mtu ambaye anataka kutoka naye?
Nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasmi na kugundua kwamba, hususan kwa wadada, kama kuna mkaka kawatokea na kama wao hawamfeel kivile na wanataka kumkataa bila kujeruhi hisia zake sana, basi huja na hiyo gia ya kwenda kupima.
Hiyo kupima si kwenda sijui kupima malaria au sijui presha ni kwenda kupima VVU.
Teh teh teh sasa kusema ukweli si watu wengi wenye ujasiri wa kwenda tu kupima hiyo makitu. Kwa hiyo mtu ukimwambia hivyo utaona pole pole anaanza kula kona kwa sababu ni sharti lililo gumu.
Kwa mfano mnakutana leo mnaenda kwenye kideti chenu halafu baadaye mwenzio anachomekea mambo ya kwenda kupima tena kesho tu.
Hapo kama huna ujasiri wa kwenda lazima utakula kona tu.